Recent content by fansureboy

  1. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mbowe: Kibatala amuweka kwenye kona Mkuu wa Upelelezi

    Hakuna kazi ngumu km kutetea ujinga yaani yakupasa nawe uwe mjinga ndiyo utaweza kujinya unatetea. Si km hajui vyote anavyokaa kimya ila yeye mwenyewe hujishangaa na kujiuliza kipi niongee angal hapo sipo upande wa haki. Hvy ndivyo ilivyo hata kwa AG anajua kabisa hapa sipo sahihi ila napigania...
  2. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa na harufu mbaya sana sehemu za siri

    Mkuu... Kama una mwili mkubwa yani ni bonge na una mapaja manene jitahidi kufanya mazoez ili upunguze mapaja mana mi awali nlikuwa na tatizo kama lako la kutoa harufu ila nilikuja gundua ni hali yangu ya unene hivyo nkaanza fanya mazoezi asubuhi na jioni hadi mwili wangu ulivyokuwa wa wastani...
  3. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa kiume wametutia aibu ila huyu aliyevaa ya simba sc katutia aibu zaidi,msiba huu

    Dar hakuna dongo jekungu km hlo
  4. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao kwa 2016, watu 7,000+ wamekamatwa; Mahakama ya Mafisadi haijamshughulikia fisadi hata mmoja

    Kama wote wangelipa faini ya 7,000,000/= basi serikali ingepata 49,000,000 tsh. Wabuni na mradi mwingine
  5. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Na pia huenda akawa rais alotumia gharama nyingi sana kwa ajili ya kufanya promo
  6. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wakamata bajaji iliyoandikwa Mange Kimambi

    Sa nyingine atatoka kwa dhamana ya zaid ya laki
  7. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Speed up buddy
  8. fansureboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanye nini kuacha kumuota dada yangu kimapenzi?

    Unaweza kula hata bila kunawa.... Haina haja ya kumtongoza we kuwa nae karibu tu mtajikuta SHETANI kashawapitia....
  9. fansureboy

    JamiiForums Tanzania TANGA: Watu 2 wauawa huku miili yao ikiwa haina nguo na imefungwa kamba za miguuni katika nyumba ya kulala wageni

    Ilikuwepo ila si kama sasa mana watu hutegemea sana mitandao ya kijamii kupata habar tofauti na mwanzo.
  10. fansureboy

    JamiiForums Tanzania TANGA: Watu 2 wauawa huku miili yao ikiwa haina nguo na imefungwa kamba za miguuni katika nyumba ya kulala wageni

    Enzi za JK vitu kama hivi vilikuwepo ila habar zilikuwa hazitufikii kwa wakati ila siku hizi kila mtu muandishi hivyo ni rahisi kupata taarifa mara tu litokeapo.
  11. fansureboy

    JamiiForums Tanzania TANGA: Watu 2 wauawa huku miili yao ikiwa haina nguo na imefungwa kamba za miguuni katika nyumba ya kulala wageni

    Ni nyumba chache sana za wageni zinazokubali watu wa jinsia 1 kulala chumba kimoja.
  12. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Michango ya tetemeko la ardhi Kagera wahusika walipata?

    Labda kwa vile ushasema kuna mtetezi wa wanyonge huenda ikawa walipata.... LABDA
  13. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali inatuwinda kutuua akiwemo Lema, Mbowe & Mdee. Wote tunafuatiliwa na Serikali ya kidikteta

    Huko ndo kunaitwa KUJITOA MHANGA... si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
  14. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Ufafanuzi wa Bunge kuhusu kauli ya Spika

    Open your mouth only if what you're going to say is more beautiful than silence. si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
  15. fansureboy

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Waliomshambulia Tundu Lissu, walitumia gari la Nissan Patrol T 932 AKN

    Ivi wakisema hiyo gari iliibiwa na watu wasiojulikana kabla ya tukio itakuwaje.... si sisiemu si sidiem ila ni MKEREKETWA
Back
Top Bottom