Recent content by Fan boy

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa waliojaribu Windows 11

    Mnalalamika kumbe laptop zenu mnazilaximisha
  2. F

    JamiiForums Tanzania Changamoto juu ya ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma

    Pamoja na yote mliyosema tofali za kuchoma ni imara kuliko tofali za aina yoyote ile maana hazina expire date, na pia kujengea udongo ni bora kuliko kujengea cement.... sababu ni ile ile tope halina expire date
  3. F

    JamiiForums Tanzania Plot number Block number na House number

    Habari za muda huu wapendwa wana JF. Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business name wanadai vitu kama hivyo.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Block chain maana yake ni nini?

    Jamani kwa mwenye uelewa block chain ni nini? Nina dogo wangu wa kazi anapambana nayo sana hata simwelewe yani
  5. F

    JamiiForums Tanzania Niezeke bati la kiwanda gani kati ya Alaf na Sunshare?

    Bro should i have your number tafadhali
  6. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kupewa elimu ya mabati na ubora wake

    Sawa kaka
  7. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kupewa elimu ya mabati na ubora wake

    Habari wanajamvi, Kama kuna mtu anayejua ubora wa mabati na kampuni ipi inazalisha bati bora nomba kufahamishwa
  8. F

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

    Sasa nikuambie wasimamizi wakuu ndobwamefelisha hilo zoezi.. imagine kuna mahali watu wamelipwa 80 elfu for two weeks na hata hiyo hela inalipwa unategemea nn
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naomba unisaidie mawasiliano yako
  10. F

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Na ebay je wanaruhusu kutumia payal? Maana naambiwa kwamba the ability to link paypal account is no longer availble. However any previously linked account remains active
  11. F

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkubwa samahani nashindwa kulink amazon na paypall naomba msaada
  12. F

    JamiiForums Tanzania Microfinance sector

    Shukran kaka! Nitakutafuta
  13. F

    JamiiForums Tanzania Microfinance sector

    Shukrani san wadau kwa michango yenu chana! Nadhani nimeelewa aksanten sana
  14. F

    JamiiForums Tanzania Microfinance sector

    Habari za leo wanaJF Mimi swali langu la leo nalielekeza kwenye sector ya mikopo midogo midogo maarufu kama microfinance. 1. Je kwa Tanzania tuna aina gani za microfinance institutions? N 2. Ni procedure zipi za kufuata kama unataka kuanzisha microfinance instititutions? Kama yeyote mwenye...
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SSD vs HDD

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom