Huo mpango uandaliwe Sera nzuri pmja na kuwakutanisha wadau wote na kuona jinsi gani unaweza kuwa na impact.. usifanyike kisiasa unaweza usiwe na tija..Mana mtoa taarifa unasema ni January tu unaanza..
Acha kupanick Mpaka unakosea na kuandika. Nayafuta kick ndyo Nini!!!....ata kma ingekua na alama ya z...wakat wanajenga hayo majengo Mpka yanaisha serikali IPO WAP..Kwa Nini hizo hizo x zisianze kwenye misingi ya nyumba mwanzo kabisa..au kubomolewa Kwa misingi ya ujenzi wao kuonyesha ni si sehem...
Hivi Mpka watu wanajenga kwenye hayo maeneo na kuwekeza ..serikali inakua iko wapi...!!! Mpka inakua Hivi Mambo yakuwatia watu hasara wengne mitaji yenyewe wamekopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.