Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Gazeti la Mawio jana liliandika habari ya KUTUNGA na ya UONGO likiwa na nia ya kumdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda kwamba alipewa Ukuu wa Wilaya kwa sababu aliwahi kumfunga kamba za viatu Mtoto wa Rais wa zamani Dr. JK huku likionyesha picha ambayo Mtoto huyo wa Rais wa zamani na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Ridhiwani Kikwete akifungwa kamba viatu na mtu ambaye sio Mkuu huyo wa Wilaya ya Kinondoni.

- Ukweli ni kwamba picha hiyo ni ya Mh. Ridhiwani akifungwa kamba za viatu na Msaidizi wa Mwanamitindo maarufu hapa nchini Sheria Ngowi na kitendo hicho kilifanyika Dukani kwa Mwanamitindo huyo Masaki. Gazeti la Mawio linaonekana kuzibeba habari hizo kwenye mtandao wa kijamii hasa wa Instagram bila kufanyia UTAFITI na UKWELI wa habari hii.

- Sijui sheria inasema nini unapotokea udhalilishaji kama huu, tabia ya kubeba habari za Instagram bila kuzifanyia utafiti inaonekana kuwatesa mpaka baadhi ya Watendaji wa Serikali, mimi nafikiri ni muhimu sana Gazeti la Mawio likaomba radhi hasa kwa sisi wasomaji wake kwa kutulisha habari ya uongo.

Le Mutuz Nation
KESI.jpg
 
Vp kwakuwa wamemsema best-ako bwana konda? Ama kweli ndege wa aina moja huruka pamoja.......
 
We acha kudanganya umma,Ofisini kwa sheria tunapajuwa na tunaingiaga,Sio hapo.Ukweli umekuuma toka jana leo unakurupuka kupotosha.Makonda asafishiki.Yeye ndio aombe radhi kwa kumfunga kidume mwenzie kamba.Au aweke wazi kama alishaajiriwa kwa kazi hiyo na Riz.Mkiendelea kubisha Kubenea next week atatupia nyingine akifua na kupiga kiwi viatu.
 
- Gazeti la Mawio jana liliandika habari ya KUTUNGA na ya UONGO likiwa na nia ya kumdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni Mh. Makonda kwamba alipewa Ukuu wa Wilaya kwasababu aliwahi kumfunga kamba za viatu Mtoto wa Rais wa zamani Dr. JK huku likionyesha picha ambayo Mtoto huyo wa Rais wa zamani na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Ridhiwani Kikwete akifungwa kamba viatu na mtu ambaye sio Mkuu huyo wa Wilaya ya Kinondoni.

- Ukweli ni kwamba picha hiyo ni ya Mh. Ridhiwani akifungwa kamba za viatu na Msaidizi wa Mwanamitindo maarufu hapa nchini Sheria Ngowi na kitendo hicho kilifanyika Dukani kwa Mwanamitindo huyo Masaki. Gazeti la Mawio linaonekana kuzibeba habari hizo kwenye mtandao wa kijamii hasa wa Instagram bila kufanyia UTAFITI na UKWELI wa habari hii.

- Sijui sheria inasema nini unapotokea udhalilishaji kama huu, tabia ya kubeba habari za Instagram bila kuzifanyia utafiti inaonekana kuwatesa mpaka baadhi ya Watendaji wa Serikali, mimi nafikiri ni muhimu sana Gazeti la Mawio likaomba radhi hasa kwa sisi wasomaji wake kwa kutulisha habari ya uongo.

Le Mutuz Nation

attachment.php
Wala usiwe na wasiwasi mkuu na hilo gazeti maana HALIJAWAHI KUANDIKA UKWELI SASA LITAKANUSHA KILA KITU..........................
 
- Gazeti la Mawio jana liliandika habari ya KUTUNGA na ya UONGO likiwa na nia ya kumdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni Mh. Makonda kwamba alipewa Ukuu wa Wilaya kwasababu aliwahi kumfunga kamba za viatu Mtoto wa Rais wa zamani Dr. JK huku likionyesha picha ambayo Mtoto huyo wa Rais wa zamani na Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Ridhiwani Kikwete akifungwa kamba viatu na mtu ambaye sio Mkuu huyo wa Wilaya ya Kinondoni.

- Ukweli ni kwamba picha hiyo ni ya Mh. Ridhiwani akifungwa kamba za viatu na Msaidizi wa Mwanamitindo maarufu hapa nchini Sheria Ngowi na kitendo hicho kilifanyika Dukani kwa Mwanamitindo huyo Masaki. Gazeti la Mawio linaonekana kuzibeba habari hizo kwenye mtandao wa kijamii hasa wa Instagram bila kufanyia UTAFITI na UKWELI wa habari hii.

- Sijui sheria inasema nini unapotokea udhalilishaji kama huu, tabia ya kubeba habari za Instagram bila kuzifanyia utafiti inaonekana kuwatesa mpaka baadhi ya Watendaji wa Serikali, mimi nafikiri ni muhimu sana Gazeti la Mawio likaomba radhi hasa kwa sisi wasomaji wake kwa kutulisha habari ya uongo.

Le Mutuz Nation

attachment.php

haa ndugu... dukan kwa ngowi kuna bendera? huyu hapo ni makonda na wala sio huyo mwanamitindo wako, sema hiyo picha imemdharirisha makonda, usiseme eti huyo sio makonda.
 
We acha kudanganya umma,Ofisini kwa sheria tunapajuwa na tunaingiaga,Sio hapo.Ukweli umekuuma toka jana leo unakurupuka kupotosha.Makonda asafishiki.Yeye ndio aombe radhi kwa kumfunga kidume mwenzie kamba.Au aweke wazi kama alishaajiriwa kwa kazi hiyo na Riz.Mkiendelea kubisha Kubenea next week atatupia nyingine akifua na kupiga kiwi viatu.

- Pole sana naona unaendeshwa na Chuki zaidi hujafika Dukani kwa Sheria Ngowi cause kama umefika ungejua kwamba hicho kiti kipo na Bendera hata mimi binafsi nimeshaenda nikapiga kwenye hicho kiti, kama unahusika na hilo gazeti jitayarishe kuomba radhi au kupambana na mliowachafua.

le Mutuz
 
more photos kube.............loading Kube hatumiagi risasi zote hapa mnamtafuta haya we
 
- Hapana ni FACTkwamba huyo sio Makonda gazeti la Mawio lilikurupuka sasa watuombe radhi wasomaji, sijui kuhusu waliodhalilishwa kama watachukua hatua au watawaacha.

le Mutuz

Haya tufamishe umetumia vigezo gani ku-conclude huyo si Konda? Huyo ni nani maana naona unauweledi wakuitambua picha husika...............
 
- Hapana ni FACTkwamba huyo sio Makonda gazeti la Mawio lilikurupuka sasa watuombe radhi wasomaji, sijui kuhusu waliodhalilishwa kama watachukua hatua au watawaacha.

le Mutuz
Kimbelembele @ work! Hebu jaribu kufanya kazi kihalali basi siyo kuishi kuwa mpambe wa watu
 
Back
Top Bottom