Natafta kijana wa kuuza duka la dawa mwenye Cheti cha ADDO, duka liko uyole anaekaa maeneo hayo au jirani kidogo itakuwa bora zaidi. Kama upo interested Njoo pm
Habari zenu wakuu!
Natafta vifaa vya chips used Mbeya mjini Kama kuna yeyote anauza naomba tuwasiliane pm.
Nahitaji eneo Mbeya mjini Kama kuna mtu anaeneo naomba tuwasiliane pia.
Habari wakuu, natafuta vifaa kwa biashara ya chips, yeyote anaeuza Mbeya mjini naomba tuwasiliane pm.
Kama kuna eneo pia naomba tuwasiliane pm.
Karibuni sana!
Wakuu nauliza kuwithdraw kwa visa ya crdb kutoka 1xbet kuna usumbufu wowote mpka kuchukua pesa Au inaingia moja kwa moja naweza kwenda atm moja kwa moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.