Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,121
Una ushahidi wa kuwa una sifa lakini unabaniwa??Mkuu fact ulizoeleza na ndicho nilichomueleza Afisa utumishi wangu iwaje mtu wa sifa kama zangu tena ana stashahada amebadilishiwa muundo mwaka Jana Mimi nimeomba kubadilisha mwaka huu aseme sasa hv utumishi wako strect kiukweli Mimi nimeshindwa kumuelewa naomba ushauri wako nimchukulie hatua gani
Tafuta huo muundo mkuu ujiridhishe achana na habari ya kuwa mwenzio alipata mwaka jana
