Recent content by FALCON KAPANDE

  1. FALCON KAPANDE

    Fid Q Vs Ngwair

    Hahahahahhhahahahaahahha
  2. FALCON KAPANDE

    Fid Q Vs Ngwair

    Ukianza kubishana na watt ambao hawasikilizi hip hop utagundua kwann hip hop ni ngumu kuliko hesabu . Achana nao . Mtoto mmoja ananijibu comment hip hop yenyewe hawezi iandika anaandika ipapu hahaha .. anasema verse yake bora ya muziki hip hop ipo kwenye nyimbo msela ya ngwair na nature...
  3. FALCON KAPANDE

    Fid Q Vs Ngwair

    Verse yako bora ya hip hop ni msela ya ngwair???? . Daah . Umeshinda tajiri
  4. FALCON KAPANDE

    Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

    Kwa sasa haujakosea. Yaani kizaz cha sasa .. maana wengi hawapo real. Ni business oriented. Ukilinganisha na wasanii kama akina Q tulio wazowea. Pia hata kwa kizaz hiki bado hujalinganish vzr ... Ni msanii mkali sawa ila bado wapo wakali zaidi . Pata nafas msikilize vzr huyo rapcha utaona anakitu
  5. FALCON KAPANDE

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Makavu live feat dulayo na joslin - fungua
  6. FALCON KAPANDE

    Fid Q Vs Ngwair

    Kwa mujibu wa paragraph ya kwanza . Msanii mwenye iq kubwa ya hip hope mpaka sasa kwa mujibu wa utafiti nilioufanya. Hakuna kama prof J . Kwa mujibu wa paragraph ya pili hata mm binafsi sijawah kubaliana na kwamba ngwair ni mkali kwa IQ kuliko farid Q. Ila ngwair ni Moja ya wasanii wachache...
  7. FALCON KAPANDE

    SoC03 Duara Jeusi kwenye Bahari Nyeupe

    Thank you for this complement
  8. FALCON KAPANDE

    SoC03 Duara Jeusi kwenye Bahari Nyeupe

    Hakuna kitu kikubwa kwenye hii dunia kama maendeleo kwenye jamii, hakuna furaha inayopatikana kwenye jamii kama ya uhakika wa kesho, hakuna furaha zaidi inayopatkana kwenye jamii kama ile ya kufahamu usalama binafsi na tunaowapenda, kuanzia familia, jamaa na marafiki na mpaka taifa kwa ujumla...
Back
Top Bottom