Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

ndimbwa

Member
Jan 26, 2016
36
125
Kuna wasanii wazuri,wanamuziki wazuri na waandishi wazuri wa muziki wa Hip Hop...mwenye hivyo vyote kwa ukamilifu ni Zuzu, Nash Mc,Maalim,Mchochezi
 

Sarri

JF-Expert Member
May 25, 2018
476
1,000
Nikki Mbishi Yupo vyema sana.

Nadhani kwa Tz bongo kizazi chake ni wachache sana wanaweza kulegeza kamba za viatu vyake.

Kila Eneo yupo vizuri mno,Freestyle,Mapenzi,Harakati,Uanfishi wa mashairi,Utundu wa kuchezea maneno(lugha) na Umahiri wa lugha English & Swahili.
Nikki anajua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom