Recent content by falamangaa

  1. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    Nyaru-sare, Safi sana.Watu kweli wanafaa wafanye utafiti zaidi juu ya hizi lugha zetu. Tumepumbazwa ili tujione kwa lugha zetu ni duni (inferior) Pia naweza ongeza kuwa dhana/wazo la ( Race) sio msingi wa sayansi. Hii ni dhana wazungu wametumia kuwagawanya watu haswaa kwa rangi. Hakuna...
  2. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    Mokaze, Boss sasa umeruka kutoka wa aborigine ukaenda Americas haya. Tafuta "Olmecs" Watu asili wakiafrika wanapatikana kote duniani. Huko uropa tafuta "Etruscans" ( Watu weusi kama wewe na mimi) Hata Asia kuna watu weusi kule philippines, kule Indonesia, Malaysia, Kule India, Uarabuni. Hata...
  3. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    Mokaze, Boss nimekueleza wanasayansi wengi wameshajadiliana na kukuballiana kuwa binadamu alitoka Africa. Naweza kukuwekea hapa links mpaka uchoke. Tumia Google. Nime tafuta mara moja tuu. Link ndiyo hiyo. Unprecedented study of Aboriginal Australians points to one shared Out of Africa...
  4. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    Wana sayansi wameshakubaliana kuwa binadamu alitoka Afrika kabla ya kusambazika duniani kote, kwahivyo pia aborigines walitoka Afrika miaka karibu 75,000 zamani. Boss haya ni mambo wanasayansi wengi wameshakubaliana. Ndipo kuna "Out of Africa Theory"
  5. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    Waafrika walisambazika duniani kote kutoka Afrika miaka elfu nyingi iliyopita. Ni wazi( Inajulikana) kuwa hawaishi Afrika kwa sasa, lakini ni wa asili ya kiafrika ( Rangi ya ngozi, mila, mienendo) na kadhalika. Nilitumia nambari ya kabila zao kama mfano wa wingi wa lugha zinazoongelewa na watu...
  6. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    Maandishi yako, lakini machache. Pia wakoloni waliharibu historia yetu nyingi. Kama wanubi walikua maandishi ya meroitic ambayo mpaka sasa haijatafsirika. maandishi ya Geez kule Ethiopia. maandishi ya Nsibidi kule Nigeria. Hata maandishi ya Misri (Hieroglyphics) Historia ya kiafrika bado...
  7. F

    Kiswahili kimezidi mno kuelemea kwenye Kiarabu zaidi ya Kibantu. Je, upendeleo wa Uarabu dhidi ya Ubantu?

    avogadro, Asante sana. Kiswahili ni lugha kamili ya kiafrika. Lugha zote duniani hukopa maneno kutoka lugha zengine. Msingi wa kiswahili ni lugha za kibantu. Kuna wataalamu wa lugha na historia ambao wameshafanya epelezezi wa uhusiano wa Kiswahili na lugha za kiafrika za kibantu haswaa lugha za...
  8. F

    Raila Odinga Hafai Kuwa Rais Wakenya

    Ni wapi kwenye katiba ya Kenya imesemekana kama wewe ni mtu wa vitendawili huwezi kuwa raisi?. Kama humuelewi basi rudi shule ama gumbaru upate masomo zaidi.
  9. F

    Raila Odinga Hafai Kuwa Rais Wakenya

    Wacha hizo propaganda zako za upuzi. Raila alikuwa lecturer at University of Nairobi. Wachana na Wikipedia hizo data za Wikipedia, mtu yeyote anaweza edit na Jubilee wamekuwa wakijaribu sana kuchafua career ya Raila. Wachana na fitina zako za vijiweni, eti Raila hana cha maana chenye yeye...
  10. F

    Raila Odinga Hafai Kuwa Rais Wakenya

    Raila yuko more digital than Uhuru. Raila is an Engineer, and has taught Engineering at University of Nairobi. If your gauge for someone digital is someone who can use a smartphone, do Facebook/Twitter, or some stupid stuff like that, how about a President who has actually taught advanced...
  11. F

    Government signs agreement with China for construction of Kampala light rail network

    Also this idea of Kenya Railway selling land for apartments should be done away with. They havent even fulfilled their core mandate of providing us with efficient rail transport, and they are thinking of building apartments. They will need that land in future for expansion. Its like the news i...
  12. F

    Government signs agreement with China for construction of Kampala light rail network

    I think India has been able to build a subway but not as expensively as Europe, or US costs. They should consult them. If you think about the amount of money we lose through graft yearly we should be able to afford a subway.
  13. F

    Government signs agreement with China for construction of Kampala light rail network

    I think Kenya was thinking about building Light Rails. I dont think light rails are the best solution. If you look at Ethiopia's. It looks cool, but not really ideal for moving lots of people around efficiently. For me it looks like a short term solution. First the car bodys are so narrow, you...
  14. F

    Government signs agreement with China for construction of Kampala light rail network

    I hope the new Kenyan Govt ups this by building a "subway". (Kangemi, Westlands, Nairobi Railway Station, Doohholm, to Jomo Kenyatta )Airport for starters. Get the experience and build more after that. The Chinese that are building those SGR tunnels should be consulted, or like wise talk to...
  15. F

    Japan to build Kenya passenger speed bullet train as a sign of watertight alliance after first ticad

    Test run wapi? Also bullet trains are not ideal for short distances. I don't know if you've ever seen how fast that thing goes.
Back
Top Bottom