duuuuu inaskitikitisha kwasasa zanzibar tulipofkia yaaan mpaka ujambaz nje nje dah! iko wap zenj ya aman ukakaaaa mlango waz bila ya ata nzi kukuibia kandambil zako
Habari zenu waungwana.samahanini xn mm nimechaguliwa kujiunga na chuo cha ifm kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ila nimekosa mkopo nifanyeje? Tafadhalini naomba ushauri wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.