Ni leo hii kulikuwa na mpambano makali kati ya askari na majambazi zanzibar. Yaliyojiri huku mm nimepata pict tuuu...
Ni leo hii kulikuwa na mpambano makali kati ya askari na majambazi zanzibar. Yaliyojiri huku mm nimepata pict tuuu...
Saa ngapi?
Atakuwa Mh lema hebu muangalie vizuri
Hao watakuwa wametokea Bara hao. Visiwani hakuna watu wenye ujasiri huo hadi kuitwa majambazi.
tukio hili limetokea leo mchana, majambazi wamekuja wanne. wawili wamepatikana na wawili wamekimbia