Recent content by Fake

  1. Fake

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa mwanza wanavopotea kwene game ya mziki

    Before alikiba Kama unaikumbuka vizuri fiesta ya mwanza alisema yeye ni Prince afu alikiba Ni King na akasema kwamba yeye no mtoto wa mfalme yaani alikiba na akasema Ni team kiba,na kweli bila hiyana akapata nyomi kubwa na kusahau wema wa diamond kwenye zari all white party ambapo baraka the...
  2. Fake

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa mwanza wanavopotea kwene game ya mziki

    Baraka de prince kilicho mponza Ni beef lake na diamond platinumz
  3. Fake

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    President Benjamin William Mkapa
  4. Fake

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Acha ujinga wewe
  5. Fake

    JamiiForums Tanzania JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

    Unajua utofauti uliopo Kati ya information technology (IT)& computer science (CS)?
  6. Fake

    JamiiForums Tanzania JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

    Nina experience na hivyo vitu
  7. Fake

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wakiwa na mama msindikizaji wakati wa kujifungua

    Imekuwa Kawaida wa mama wengi wajawazito nchini Tanzania na Duniani kutokuwa na wamama wasindikizaji hasa wakati wa kujifungua bila kujua faida za kuwa nao,ko zifuatazo Ni baadhi ya faida za kuwa na wamama wasindikizaji wakati wakujifungua kama vile; 01)Hupunguza msongo wa mawazo:uwepo wa mama...
  8. Fake

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ninavyoweza kuhama chuo kutoka Mzumbe Mbeya kwenda UDSM course ya sheria

    Mimi nimesoma pale na nimehitimu mwaka 2000 ok
  9. Fake

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia neno lolote au msemo wowote wa jadi,kitamaduni,kikabila au kiasili hapa na maana yake.

    Naanza na Mimi hapa; Umwana atabwigwa,ubwigwa na masomo utukula=maana yake mtoto asiposikia,atasikia na macho yakiwa mekundu au akiwa analia na kutoa machozi baada ya viboko.
Back
Top Bottom