Recent content by fajonya

  1. F

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Shida yangu ni uhamisho status inasoma TAMISEMI muda mrefu naomba kujua nitapata barua lini, sababu nipo stressed Sana miaka 15 naishi mbali na familia tafadhali naomba mnisaidie nashindwa Hadi kufanya kazi kwa Sasa
  2. F

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Sie ambao status inasoma TAMISEMI Nini kinaendelea,,,Mimi nipo stressed Sana na hili Jambo la uhamisho kazi haziendi kabisa
  3. F

    Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Mimi naumwa mgongo sababu ya kuchoma sindano ya oparetion mtoto anamwaka Sasa ila maumivu ni makali nimemeza dawa lakini maumivu hayaishi,je naweza tumia tiba zenu
  4. F

    Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Mgongo unanisumbua sababu ya sindano ya oparetion ya UTI wa mgongo unapelekea Hadi miguu inashika ganzi je naweza tumia hiyo dawa?
  5. F

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Naomba kufahamu mita ikiungua na kulikua na unit je nikifungiwa mita mpya unit zangu za mwanzo inakuaje?nilifika Hadi TANESCO - NKASI wakanambia niandike barua matokeo yake Hadi Leo sijajibiwa kitu na unit zangu zilikua 62
  6. F

    Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Watumishi tulioomba uhamisho kwa njia ya mfumo na status inasoma TAMISEMI Nini kinaendelea miezi minne hakuna kinachoendelea naomba mtujuze,uhamisho mtatoa lini?
  7. F

    KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Waiting naomba nitext huko inbox sijui kwa kuingilia
  8. F

    KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Habari,naomba kujua Kama Kuna mtumishi aliefanikiwa kupata kibali cha uhamisho kupitia mfumo wa ess,ni miezi mitatu status inasoma TAMISEMI lakini hakuna kinachoendelea.tufahamishane tafadhali
Back
Top Bottom