Recent content by faith1982

  1. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

    Miss zomboko nisamehe Kwa kukurupuka
  2. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

    Dada wa watu Ni mzima wa Afya Na anawashangaaa hiyo picha Ni ya Mwaka uliopita alipo fanyiwa operation Ambapo Ni kawaida ukitoka Kwenye operation ya kizazi lazima uvae hiyo acheni uzushi dhambi Kwa Mungu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Happiness Magese sasa kukojoa kwa kutumia mipira

    Hivi hizi habari mnazipataga wapi mbona mnapenda kutunga story Kwa kuunganisha inganisha picha
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha naomba ufafanuzi utozaji kodi kwenye fungu la kumi!

    Naomba huu mjadala ufungwe or else mnajitafutia laaana kubwa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha naomba ufafanuzi utozaji kodi kwenye fungu la kumi!

    Wewe Mungu akuponye hujui ulitendalo Nenda bible school Upya wakati mwingine kukaa Kimya kunalipa Why don't u keep quite hivi kweli wewe Ni mkristo???
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    Karibu Lian pole Sana but all in all mtegemee mwenyezi Mungu kabla ya kwenda Kupima muombe Mungu majibu yakiwa Sawa mshukuru Mungu yasipokuwa Sawa mshukuru Mungu pia pole Sana Sana
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    Pia aende hata hospital ya mkoa akiweza
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    But nashauri aende LANCET MAANA VIPIMO VYAO NI VIZURI SANA SANA
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    Mwanza kuna Aghakhan Na kuna Lancet pia ama nafikiri hata hospital za mkoa au rufaa wanafanya hivyo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    It is a chronic condition associated with the bones. As the name suggests, it is an arthritis which means inflammation of the joints and bones. Now, when somebody suffers from rheumatoid arthritis, the main complaint that the patient will have is chronic and nagging pain in the joints. The pain...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    Sijajua bei mdogo nenda regency au AGHAKHAN wanapima otherwise nenda KWENYE MAABARA ZA LANCET ZIPO DAR ES SALAAM KILA KONA
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    Rheumatoid factors are proteins produced by your immune system that can attack healthy tissue in your body. High levels of rheumatoid factor in the blood are most often associated with autoimmune diseases, such as rheumatoid arthritis and Sjogren's syndrome.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kuvimba kwa viungo

    Pole San mdogo mbona Kama una dalili zote za RA FACTOR???? Umeshacheki RA factor nenda kapime hicho kipimo pole sana
  14. F

    JamiiForums Tanzania Leo ninaanza maombi ya kupata mke/mchumba mwema

    Uwaga hawatangazi mapepo yapo pia
  15. F

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete aongoza mazishi ya mwanamuziki Shakila Said

    Njiwaaaa peleka salaam
Back
Top Bottom