Kuvimba kwa viungo


L

lian rich

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Messages
300
Likes
279
Points
80
Age
28
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2016
300 279 80
Habari za leo wana jf nimekuja kwenu tena nikiamini nitapata msaada au njia ya kupata ufumbuzi wa tatizo langu.

Mimi ni binti wa miaka 25 nina tatizo linanisumbua mwaka wa tano sasa kila ninapobeba kitu kizito mfano ndoo ya Lita kumi tu ya maji kwa mwendo hata wa dk 1 huo mkono lazima uvimbe na maumivu. Nikitembea pia miguu itavimba mpaka chini kwenye nyayo na maumivu makali pia kipindi cha baridi joints zote zinavimba na kuuma na maumivu mengi yanazidi jioni mpaka siwezi kutembea au kuchuchumaa.

Nilienda kupima maabara moja hapa Mwanza nikaambiwa nina wingi wa uric acid nikazuiwa kula baadhi ya vyakula na nikaandikiwa dawa masharti niliyafata na nikanywa dozi ya kwanza ikaisha bila nafuu nikaambiwa niirudie lakini pia sikupata nafuu yoyote.

Nikaenda kupima tena kwa hawa madaktari wa kisabato wa tiba lishe nikaambiwa nina cholesterol kwenye damu na matatizo mengine mengi tu nikapewa dawa nyingi sana kwa gharama kubwa iliyonilazimu kusitisha masomo kwa muda ili nifanye kazi. Nikapewa dawa nikatumia zote tatizo likapungua kidogo baadae likarudi tena mpaka sasa sijui nifanye nini maana ugonjwa ndio kama umeamka upya miguu imevimba mpaka kwenye nyayo na magoti na viwiko vya mikono pamoja na maumivu makali sana.

Natamani kwenda Bugando Ila wana gharama kubwa ambazo siwezi kuzikidhi ila maumivu ni makali.

Naamini naweza kupata msaada humu ndani wa nini nifanye au dawa gani nitumie za asili ambazo hazina gharama kubwa angalau nipate unafuu.

Samahani kwa Maelezo marefu sana ila natumai msaada.
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
Pole San mdogo mbona Kama una dalili zote za RA FACTOR???? Umeshacheki RA factor nenda kapime hicho kipimo pole sana
 
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Messages
300
Likes
279
Points
80
Age
28
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2016
300 279 80
Pole San mdogo mbona Kama una dalili zote za RA FACTOR???? Umeshacheki RA factor nenda kapime hicho kipimo pole sana
Asante sana ndugu yangu, hiyo RA Factor ni ugonjwa gani na je unatibika? Na kipimo chake ni bei gani?
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
Rheumatoid factors are proteins produced by your immune system that can attack healthy tissue in your body. High levels of rheumatoid factor in the blood are most often associated with autoimmune diseases, such as rheumatoid arthritis and Sjogren's syndrome.
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
Sijajua bei mdogo nenda regency au AGHAKHAN wanapima otherwise nenda KWENYE MAABARA ZA LANCET ZIPO DAR ES SALAAM KILA KONA
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
It is a chronic condition associated with the bones. As the name suggests, it is an arthritis which means inflammation of the joints and bones. Now, when somebody suffers from rheumatoid arthritis, the main complaint that the patient will have is chronic and nagging pain in the joints. The pain is so intense that the patient is unable to conduct his day-to-day activities, which actually hampers his lifestyle and the work he performs.

If, over a period of time, an X-ray examination is conducted then not only the pain but also erosion of joints could be detected. It is essential that the doctor diagnoses the condition if it is so severe.

rheumatoid-arthritis-ra-factor

Why to diagnose rheumatoid arthritis?

It should be diagnosed because:

There are multiple types of arthritis that exist. Osteoarthritis is a common type of arthritis
There is a need to conduct a special test so as to diagnose and differentiate rheumatoid arthritis from osteoarthritis
rheumatoid-arthritis-osteoarthritis-diagnosis

What is RA factor test?

A special type of test is carried out for the diagnosis of rheumatoid arthritis which is called as RA factor test. RA factor is the presence of rheumatoid arthritis antibodies in the blood circulation. When a patient suffers from rheumatoid arthritis, the presence of these antibodies could be detected in the blood after conducting the RA factor test.

ra-factor-test

How to read the RA factor test results?

If the test results are positive, the patient suffers from rheumatoid arthritis. To further confirm the diagnosis, the doctor may want to carry out a few more investigations so that he could provide the required complete medical management for the patient.
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,787
Likes
27,983
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,787 27,983 280
Sijajua bei mdogo nenda regency au AGHAKHAN wanapima otherwise nenda KWENYE MAABARA ZA LANCET ZIPO DAR ES SALAAM KILA KONA
Huyo kama vile nimeona amesema yuko Mwanza!
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
Mwanza kuna Aghakhan Na kuna Lancet pia ama nafikiri hata hospital za mkoa au rufaa wanafanya hivyo
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
But nashauri aende LANCET MAANA VIPIMO VYAO NI VIZURI SANA SANA
 
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Messages
300
Likes
279
Points
80
Age
28
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2016
300 279 80
Asante faith
 
F

faith1982

Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
31
Likes
15
Points
15
F

faith1982

Member
Joined Jan 2, 2013
31 15 15
Karibu Lian pole Sana but all in all mtegemee mwenyezi Mungu kabla ya kwenda Kupima muombe Mungu majibu yakiwa Sawa mshukuru Mungu yasipokuwa Sawa mshukuru Mungu pia pole Sana Sana
 
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Messages
300
Likes
279
Points
80
Age
28
L

lian rich

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2016
300 279 80
Karibu Lian pole Sana but all in all mtegemee mwenyezi Mungu kabla ya kwenda Kupima muombe Mungu majibu yakiwa Sawa mshukuru Mungu yasipokuwa Sawa mshukuru Mungu pia pole Sana Sana
Asante sana faith
 

Forum statistics

Threads 1,274,340
Members 490,676
Posts 30,508,930