Recent content by FAIR PLAY

  1. FAIR PLAY

    Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

    Usiwe na uwezo mdogo wa kufikiri ndugu. sidhani kama mlipaji ni tatizo, unaweza hata ukapewa ww ukalipe. Kumbuka ile ni Invoice na si receipt ya malipo. Pia hiyo $ 19,575,000 ni TSH after exchange rate ambayo i guess walifanyiwa sawana karibu 2150.
  2. FAIR PLAY

    Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Hii picha si ya leo useme imekuja kama kisasi baada ya Kubenea kuburuzwa mahakamani. Ni fact ya muda kidogo.
  3. FAIR PLAY

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Huyu mzee ni kitu cha ajabu kuwahi kutokea. ninaimani watanzania waliomsikiliza jana wamebaki mdomo wazi (Speechless). Amenipa ahueni aliposema " Lawama nipeni mimi Magufuli Muacheni afanye kazi" . Achunguzwekwa kauli hii-:eek2:kwani iko namna:eek2:
  4. FAIR PLAY

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Taifa la ajabu kabisa eti inafanya usafi kuwa shughuli ya kitaifa.😁😄. Usafi ni sehemu ya maisha jamani
  5. FAIR PLAY

    Mwanamkakati wa timu ya kampeni na msaidizi wa Lowassa ni Mkenya

    Mbona yule balozi wa watu wa China aliyewah kupanda jukwani na nguo za Chama hakuchukuliwa hatua?
  6. FAIR PLAY

    Wasanii wa Bongo fleva wakipiga push up kumuunga mkono Dk. John Pombe Magufuli

    Hao ni Wasanii wa ccm c wabongo fleva.
  7. FAIR PLAY

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Mbona hakuna update wala picha mzee? Unaanzisha uzi alafu unapotea??:A S-coffee:
  8. FAIR PLAY

    BBC Swahili Tumewachoka!

    si ni kweli imeporomoka? Acha kulalamika mpaka kwenye facts.
  9. FAIR PLAY

    Kama MBOWE sio MESSI basi ni RONALDO

    Hakuna namna ingine.. kamanda mbowe walete tu.
  10. FAIR PLAY

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Hakika wachukuliwe hatua kwa kupotosha ndugu zetu walemavu wa macho kwani kwa kupitia taarifa hii, mlemevu wa macho atalazimika kununua gazeti kwa kuamini taarifa iliyopewa kipaubele katika gazeti fulani ilihali si sahihi. Please please TCRA work on it.
  11. FAIR PLAY

    Msimamo wa Lipumba uheshimiwe; Dr. Benson Bana ni fedheha kwa PhD Holders...

    Umechanganya mada zaidi ya moja mkuu. Atahivyo naunga mkono hoja ya kua huyu msomi B. Bana anapotosha na anajishushia thamani sana. Inampasa afanye political comparative analysis kabla ya ku appear katika media. Poor bana benson
  12. FAIR PLAY

    Lowasa amedhibitisha ni mtu wa maamuzi magumu kweli. ataleta mabadiliko.

    Hakuna namna nyingine na Kife tu hicho chama.
  13. FAIR PLAY

    Jaji warioba, polepole kuunguruma dar kesho kuhusu amani na umoja wa taifa letu 8.7.2015

    Imani yangu mdahalo utakwenda kuwasaidia watanzania walio wengi kufanya maamuzi sahihi wakati ukifika. Na wala hawatakiwi kuongea kwa woga please they should try to split black from the white and the rest.
  14. FAIR PLAY

    Majambazi waua maeneo ya Mwenge karibu na Oil Com

    Hahahaha,Jamani acheni kabisa mlio wa Risasi ni habari nyingine. Ilipotokea pale Buguruni watu waliingia kwenye Daladala bila kujua wanaenda wapi.Kufia mbele mtu anakuambia ee huku wapi? Wengine wakachukua Taxi kufika mbele anampa Dereva nauli ya Daladala. Risasi ikipigwa eneo la wazi ni...
  15. FAIR PLAY

    Conference table for sale

    For your perusal
Back
Top Bottom