Soma history kipindi UN anagawanya hyo Palestine na kuform Israel 1948
Wapalestine walkuwa wengi na wakapewa eneo dogo kuliko jews ambao walikuwa wachache
Na tangia hapo majews walikuwa wanaexpand mpka sasa inaonekana kma Palestine hamn nchi
Ndomn nikakwambia weka udini pembeni
Nimekwambia ksome uislamu kwanz
Maana katika vyote ulivyovitaja hakuna hatakimoja kilicho idhinishwa na uislamu hapo
Vyote hvo vimekatazwa so kbla ujaanza kuongelea dini ya mtu unabidi uisome uielewe then ndo uje kujudge
Cha ajabu Tanzania kunawaislamu na hawafanyi hayo je ww kwa akili zako unajiona uko sawa?
kasome kwanz uislamu ndo urudi kuandika
Maana hapo unaonekana hata uislamu wenyw huujui
Hata monopolistic competition inaanza baada ya competition ya ndani kuwa kubwa ndo tunatoka nje kutafuta profit
Swali la kujiuliza je "Tanzania kunahiyo competition ya kibiashara mpka kufanya rasilimali kuwa ndogo na kupelekea faida ndogo ili tuanze kuwekeza nje??"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.