Habari wana jamvi,eneo la Soweto mbeya ni eneo maarufu sana mkoani MBEya kwa utapeli na vijiwe vya matapeli.
Cha kushangaza wao pia wamejipa vyeo kama vya wakuu wa nchi kuanzia raisi wao hadi ma rc wapo kwa level za utapeli
Wadau kuweni makini sana maana utapeli unaofanyika ni wa mwaka 2030...
Waulize madiwani wa Dar watakwambia uzuri wa Dk Massaburi. Watanzania wenye akili fupi wanadhani kila anayefanikiwa kimaisha ni fisadi au mwizi. Huo ni wendawazimu tufanye kazi jamani ili maisha yetu yabadilike. Dk Massaburi ni mtaalamu wa ugavi na manunuzi aliyebobea. Kichwa chake ni msaada kwa...
Kwamba akiwa Meya hajafanya lolote hilo ni kawaida, si umesikia kila siku marais wanaambiwa hawajafanya kitu, lakini wanaosema hivyo wanaenjoy jasho la hao viongozi wanaosema hawajafanya kitu.Hata Sumaye na Lowassa Mawaziri Wakuu walidiriki kusema hakuna kilichofanyika na tuliwashangilii...
Si kweli wale vijana ni wa Chadema, hivi dunia ya leo utamtuma kijana gani na akubali kufanya jambo la hatari? vijana wameelimika na ndio maana Ukawa walipopanga maandamano kupinga matokeo wakaambulia patupu. Kosa lake nini; kwamba hakupaswa kuwapongeza wakati wameandamana kumuunga mkono Dk Slaa...
And then suala la yeye kukaa Chanika si issue, si lazima mtu awe na makazi sehemu moja. Ndio maana unaona leo Pinda anaishi Pugu lakini alikuwa anaishi pia Masaki na anagombea Katavi na wengi wako hivyo. Hivi Kubenea ni mkazi wa Ubungo? nafahamu Dk Massaburi ameishi sana Ubungo kuliko mahala...
Ya hata mimi katika hilo nimegundua jamaa mtandao wake bado ni very strong katika siasa. kilichotokea Ubungo ni ajali ya kisiasa tu. Ni kama yaliyomkuta Lowassa, Hashim Rungwe, Kafulila, Machali na wengine wengi. Dk Massaburi si wa kubeza aisee.
Hivi ukiwa mpiga dili unaweza fanya kazi na wazungu? tena Benki ya Dunia thubutuuuuuu wale sio kama Mkombozi Benki au stanibic, Dk anaaminika ni basi tu wabongo tuna wivu wa kike
suala la UDA lipo wazi Dk Massaburi ameongeza bei ya uuzwaji kutoka Bilioni 1 hadi bilioni 5.7, na akaivunja Bodi ya UDa kwa wizi, halafu akafichua Sh milioni 300 kuwa zimeingia kwenye akaunti binafsi ya Iddi Simba. Huyu ni shujaaa. Uda ilikuwa inakufa kama yalivyokufa mashirika kibao ya umma...
Si lazima ndani ya jamii forum tuwe negative kwa kila jambo. Why watu wapaniki. Hoja ni kujiondoa kwa Dk Massaburi kwa kumuunga mkono Ndugai ambaye leo anakuwa Spika wa Bunge la 11. Mnaompinga Dk Massaburi hamtazami mbele. Huyu mtu amesifiwa hadi na Kamati Kuu kwa kitendo hiki, sasa why...
Mtoa hoja nakubaliana na wewe moja kwa moja. Kwa mwanasiasa kuanguka ni ajali ya kisiasa, vinginevyo ingekuwa ukianguka huwezi inuka, mbona wakina Lowassa bado wapo kwenye game ingawa wamewahi kuanguka mara kibao.Mimi kilichonifurahisha Zaidi ni hatua ya yeye kumuunga mkono Ndugai na kuamua...
Hakika tunaitaji viongozi kama masaburi .nashangaa serikali imuache mtu kama yeye ni mtu muhimu kwa serikali ya tanzania.hakika ametumia elimu,busara yake na ukomavu wa kisiasa katika hili. Kweli ccm wana watu.
Kila kukicha Mbeya mjini wanaotangaza nia wanaongezeka na cha kuvutia wingi vijana. Mdogo wa aliyekua katibu wa itikadi na uenezi CCM marehemu Emanuel Joseph Mbuza kajitokeza na yeye kutangaza nia ya kugombea kupitia CCM anaitwa Michael Joseph Mbuza
Jamaa ni mwanasheria sasa anataka kuwatumikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.