fahari yetu
Member
- Apr 6, 2015
- 13
- 0
Habari wana jamvi,eneo la Soweto mbeya ni eneo maarufu sana mkoani MBEya kwa utapeli na vijiwe vya matapeli.
Cha kushangaza wao pia wamejipa vyeo kama vya wakuu wa nchi kuanzia raisi wao hadi ma rc wapo kwa level za utapeli
Wadau kuweni makini sana maana utapeli unaofanyika ni wa mwaka 2030 ukizubaaa tu unapigwa.