Kwa nilichokishuhudia katika mchakato wa kuchangia mswada wa katiba mpya .kunahaja ya kufanya yafuatayo:
1. Wabunge kupimwa akili kila siku kabla ya kuingia bungeni
2. Kuwa wanaandikiwa na wananchi kile wanachotakiwa kukichangia
3. Kuwa na utaratibu wa kuwauliza na kuwawajibisha kutokana na...
Hakuna aliyejua mubarak atang'oka wala Gadafi atakufa kifo cha aibu na pia waarab watafanya kinacho endelea mashariki ya kati. Kama mtu anahisi wanahisi anawajua watanzania basi amekosea sana. Kwani wale watanzania wa ndiyo, sawa na wale wa hatuna la kufanya wamekwisha. Tujiandae kwani wenye...
Njia pekee ya kuondokana na vitisho ni kutekeleza matakwa ya wananchi kwa kuacha kuwa mtawala na kuwa kiongozi. Ndo maana tunahitaji katiba mpya itakayo tupa pamoja na mambo mengine. nafasi ya kutoa mawazo yetu bila kuhofia kukamatwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.