Waisrael ni watu wa kawaida kma wengine, ikifika kiama basi utalijua hili kwa sasa uwanja ni wako. Dunia hapa si pahala petu hivyo mtadanganywa kila kitu na mtaaminishwa mpk vizazi vijavyo lkn SIKU HIYO KWA MOLA WENU MTAUJUA UKWELI MLIOUPINGA KWA UONGO WA WATU WAPOTOSHAJI.
Mpk uone mtu kafanikiwa basi ujue kashinda vikwazo vingi sana. Ukatishwaji tamaa upo kila sehemu, cha msingi inategemea na uimara wa akili na mitazamo yako.
Usiruhusu mawazo ya watu wanaoshindwa,,, kukuchagulia maisha ya kuishi.
Leo yako unaitengeneza ww mwenyewe na si watu walioshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.