Recent content by Fabulous

  1. F

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Suala LA huyu jamaa kuhusu kiingereza cha raid halina mashiko kabisa sisi woye kuna makosa mengi tu tunayafanya tukifikiri tuko sawa kikubwa ni kueleweka tu tunaomba atuongoze vizuri vipi kama angeongea English vizuri alafu awe kiongozi mbaya ingekuwaje? Mi nafikiri tunahitaji kiongozi mzuri na...
  2. F

    Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Kipanya anamaanisha kuwa safari haitakuwa rahisi ila chama kitaendelea kama angemaanisha chama kufa labfa kungekuwa na korongo kubwa kiasi kwamba si rahisi gari kupita
  3. F

    Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Nahisi kipaya anamaanisha kuwa safari
  4. F

    Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Kipanya yawezekana akamaanisha 2020 itakuwa ngumu kwa chadema na kuwa wajipange lakini he kama basis hill litakuwa na uwezo wa kupanda huo mlima itakuwaje?
  5. F

    Natafuta rafiki

    Sina
  6. F

    Natafuta rafiki

    Kuwa pamoja tu kula good time, anaweza kuwa na watoto pia ila wasizidi wawili tubalance
  7. F

    Natafuta rafiki

    Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
  8. F

    Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    Tusilaumu alichokileta yawezekana ndo alichokipata mwenye maoni ya upande wa pili atujuze pia au kama kuna mtu aliyekuwepo atuambie kilichotokea tusiwe wepesi wa kijudge tu
  9. F

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Ukiondoa vyeo vyao wanabaki kuwa watanzania na sioni haja ya kuwa na tofauti hizi ninazoziona kinondoni na mwanza, na jambo hili likifumbiwa macho litakuwa janga baadae, uongozi ni busara kwani shughuli kubwa ni maamuzi kwa manufaa ya waongozwa na taifa.
  10. F

    How Kikwete outsmarted Lowassa - Political case for reference!

    Ni maoni tu tusubiri kitakachotokea baada ya uchaguzi
  11. F

    Hivi Kingunge Ngombale Mwiru alihudhurua mazishi ya Nyerere?

    Ubepari ni mfumo wa utawala au ni hali ya mtu binafsi kuwa na mali?
  12. F

    Umakini: CHADEMA Urais mawakala watanunuliwa?

    Kulinhana na taratibu za uchaguzi kila mgombea atakuwa na wakala kwa hiyo katika sehemu nyingi kutakuwa na zaidi ya wakala mmoja ambaue atawakilisha wagombea wa vyama ndani ya ukawa labda sehemu chache ambazo ni chadema tupu kwa hiyo uwepo wa wakala zaidi ya mmoja wa ukawa itasaidia pia
  13. F

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Natumaini atakuwa na jambo jema la kulijenha taifa leto,
Back
Top Bottom