Recent content by Fabiola

  1. Fabiola

    Onyo: Jesca Kishoa wa CHADEMA-Iramba,viongozi na chama chako wameshindwa huu mziki

    Heeee na wewe unajiita mwanaume....pathetic!
  2. Fabiola

    Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Stunt! I smell something fishy....
  3. Fabiola

    Viongozi Wasiotaka Kutekeleza Ilani ya Serikali Tawala ya CCM Wajiondoe Sasa!!

    We acha tu yaani usiombe ukakutana na hawa CCM na wewe ni mtumishi wa umma, maana kuanzia sijui mjumbe wa wazazi, UV-CMM, UWT , NEC wote wanajiona ni kama Mawaziri wanaweza kuamrisha chochote yaani ni mkorogano tu.
  4. Fabiola

    Rihanna tena huyo. At a CROP OVER Carnival in BIM

    Acha hizo wewe iwapo JLO, Mariah Carey, Madonna na uzee wao wana vijana wabichi kabisa itakuwa Riri mtoto kindakindaki.....mambo ya culture hayo!
  5. Fabiola

    Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

    Basi usingejisumbua pia kumuweka huyo Mnyika wa zamani....what was your implication? kwamba anavaa vizuri zaidi siku hizi? kanenepa ? kaota ndevu ? kawa na kipara ? hueleweki......
  6. Fabiola

    Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

    Kwani sasa hivi anafananaje?.......weka before & after ubunge ndio utaeleweka!
  7. Fabiola

    Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

    Mmeanza hivi watu wa Ngara/Kagera waliwakosea nini? Ntukamazina ni mnyarwanda toka lini? chuki tu zimewajaa......haya na muwaondoe na hao wasomali, wamalawi, wamsumbiji, wakenya etc. tuone nani atabaki.
  8. Fabiola

    Hongera sana Rais wetu Jakaya Kikwete, kwa ujenzi mkubwa wa barabara Tanzania

    Sasa hapo barabara ziko wapi....mi naona mawe ya msingi tu na utepe!
  9. Fabiola

    Wabunge wagombea Tsh milioni 1

    Ujanja kuwahi...na kupata pia!
  10. Fabiola

    CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    Hivi Lumumba waga hamfanyi evaluation ya projects mnazozianzisha maana mngekuwa mnafanya hii ya buku 7 mngeshaachana nayo maana is a totally failure......jipangeni aisee mje kivingine ni aibu!!!
  11. Fabiola

    Picha: Waziri mkuu wa Thailand Yingluck Shinawatra awasili nchini kwa ziara rasmi ya siku tatu

    Ila wabongo kwa ubunifu wa ku-justify ulaji siwawezi, kuna umuhimu gani wa hao wamama/watoto na vitenge vyao mi nadhani mapokezi ya airport yanatosha kabisa hapo ni kupoteza muda tu na hela za kofia, bendera, tisheti na si ajabu posho juu.
  12. Fabiola

    Vijana wanena! Wasema Zitto, Makamba, Mbatia na Dr Hussein wanafaa urais 2015

    Ndio kina nani hao......kama mjini kugumu rudini kijijini mkalime!!
Back
Top Bottom