SIkushauri,jenga nyumba ya chini naamini ndio umejipanga nayo. Maumivu utakayoyapata ndio yatakupa picha,"hivi ningejenga ghorofa ingekuaje?". Ghorofa jenga ukiwa tayari mwenyewe,na sio kwa ushawishi/utayari wa fundi,hilo sio kama tako kila mtu analo. Kila la heri,kama ushauri huu ukimaliza...