Recent content by f3dh

  1. F

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    mi huwa s iwaelewi kira wakati munabadilisha waraka wa mikopo mwaka huu mulisema kurenew mkopo baada ya miezi sita sasa kufika mwezi wa kumi mumebadirisha kurenew mpaka miezi kumi babadiriko yasifanyike zaidi ya mara moja kwa mwaka
  2. F

    Minara ya Halotel yahatarisha usalama wa ndege

    hayo ni majungu mumeona mumeshikwa pabaya maana hakuna matangazo redioni wala kwenye tv wanajitangaza kwa ubora wao munawaanzishia figisu figisu toa hiyo kitu
  3. F

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    kwa mwenendo wa magufuli ni vema tuache kumtabiria vibaya kama atashindwa kutekeleza ahadi nafikiri ameanza vema sana
  4. F

    Msaada chuo cha ualimu Dakawa

    leta mrejesho ukifika
  5. F

    Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    nimekua nikimfuatilia sana lowassa lkn sijapata kuona hii style ya kuongea dk10,9,7 hv kama atakuwa anaongea hv hv kwa dk hizo si atatukosesha kura huyu. wana ukawa wenzangu mulio karibu nae mwambieni basi
Back
Top Bottom