Recent content by F R D NOVO

  1. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Mapanya yameanza kuibuka
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zinazoongoza uzalishaji wa maembe duniani

    Awamu hii imamm wenu mkuu anafanya nini
  3. F

    JamiiForums Tanzania Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

    ChatGPT Kuna muda inakujaza unaona utajiri SI huu hapa, nenda field Sasa🥺🥺
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Hivi Kila tumaini la mbele SI ni kamali hiyo? Kijana anaposoma Hadi degree SI ana bett kwamba baada ya masomo yake atapata ajira na asipopata hiyo ajira SI mkeka umechanika huo? Vivyo hivyo kwa mkulima kwa hiyo hayo yote ni kamali hivyo ni dhambi mbele za Mungu?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe

    Mleta mada unajua utamu wa asali kweli wewe?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hekima na Umoja ni nguzo ya Uongozi Bora.

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na sungura mjanja sana na kobe mwenye busara lakini mwendo wa polepole. Waliishi kwenye pori moja lililojaa wanyama wa kila aina. Pori hili lilikuwa na sheria nzuri na utulivu, kwa sababu zamani lilikuwa linaongozwa na simba mzee aliyeheshimika. Lakini baada ya...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

    Kupitia kikeke soko la Nguruwe wa Moshi vijijini litamalaki Hadi Saudia
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umoja

    Ngoja Paka Ali relax, mpango isukwe chini Kwa chini pangoni
  9. F

    JamiiForums Tanzania Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu

    Kama novel Fulani hivi
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nukuu huishi! Nukuu ya leo

    "Wazuri hawafi"
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umoja

    Hapo zamani za kale, katika msitu mdogo uliokuwa umejaa matundu ya panya na majani mabichi, aliishi paka mmoja mjanja na mwenye hila nyingi. Paka huyu alijulikana kama Bwana Koma, na alikuwa tishio kubwa kwa panya wote wa msituni. Kila alipohisi njaa, alijificha kimya kimya na kuwinda panya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nukuu huishi! Nukuu ya leo

Back
Top Bottom