Recent content by F I RITTE

  1. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Warudisha kadi za CCM wadai hawatashiriki uchaguzi

    Walikuwa hawajui CCM ni wahuni na wauaji sasa wamejua.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

    Anayo ID yake humu, ungemwandikia aipate moja kwa moja.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Innovation bora inayotamba kwa sasa Afrika

    Noma sana.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mahojiano haya ya Heche yalikuwa Classic. Asema CHADEMA itamshtaki OCD wa Nkasi Ingawa Inajua Mahakama Haiwezi Kutenda Haki

    Analaumu chama gani maana Chadema hawashiriki uchaguzi huu wa 2025.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Je haiwezi kuwa ni kutozoeana na watu wa eneo husika baada ya kwenda ukitokea eneo lingine.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Ipo namna gani.
  7. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco wapeni taarifa TTCL kuna miundombinu yao inaharibiwa hapa Nyerere road karibu naToyota, kuna jengo linalojengwa hapa, zamani QUALITY CENTER GROUP.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

    Sawa mkuu ila jitahidi upate simu yenye camera nzuri.
  9. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

    Prof. Adolph Mkenda wa hapo Rombo hajarudi?.
  10. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ninazo taarifa za uhakika kabisa kuna vijana watatu Shamte, Muha kidari, pamoja na Sharo, wamepanga njama za kuchimba na kuharibu miundombinu ya TTCL maeneo ya banda la ngozi Nyerere road hapa pembeni mwa Toyota tz relini, sikuona jukwaa la TTCL ila nimeona niweke hapa ili muwasiliane maana...
  11. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Siku Lissu akiondoka CHADEMA tutarudi upya, tatizo ni Lissu siyo mtu mwingine

    Wote mlioondoka Chadema ni maduka, mnajiuza jumla na rejareja Mbowe anajishauri kuhama maana hela kachukua ili ahame kondoo watawanyike.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Polepole siyo mzalendo, ni mmoja wa kuzorota kwa demokrasia nchini

    Ni kweli umenyoosha rula.
Back
Top Bottom