Recent content by ezra chengula

  1. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    sawa br0 ng0ja nkutafte manake sielew kitu? juu ya ulpaji
  2. E

    msaada kuhusu ulipaji wa tuition fees kwa sisi fist year?

    naomba mnielekeze kwa waliopata admission letter kwenye ile formu ya malipo sisi tuliochaguliwa special diploma in education science and mathematics kwenye kipengele B tuition fees tunalipia cluster namba ngap au utaratibu upoje wa ulipaji msaada pleas?
  3. E

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    kwahyo inakuaje kama hatulip iyo tuition fees? au mpaka tufike huk0huk0 ndo tupewe maelekez0
  4. E

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    msaada kuhusu tuition fees kwa sisi direct special diploma in educatio?
  5. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    1st year diploma in education?
  6. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    nakuhusu bima ya afya kwa sisi fist year inakuajeh 2juzane ap0?
  7. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Nimechaguliwa special diploma in education chemistry & maths hapo udom baada ya kukosa nafasi kwenda five
  8. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    hyo nmeipata imekuja na jina langu sasa upande wa tuition fees pana nichanganya cjuwi nalipia cluster namba ngap? na0mba kujuzwa
  9. E

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Sasa kwenye tuition fees nalipia cluster namba ngap manake nmesoma af cjaelewa ila sehemu nyingine nmeelewa fresh 2? msaada lucas
  10. E

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    kwan hzo admission leter znawahusu na wale kdato cha nne waliochaguliwa kujiunga na special dipl0ma in euducation science and mathematics baada ya kuk0sa nafasi ya form5?
  11. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    sasa mbona wamesema inatakwa kulipwa kabla hujaripoti chuoni hapo je inakuaje me sielewi naombeni msaada wenu af kingine izo admssion leter zina wahusu wanafunzi w0te wanaojiunga na chuo hich0 hata wale waliomaliza kidato cha nne waliokosa nafasi ya kujiunga na kidato cha tano wakapangiwa...
  12. E

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    naomba kuuliza sisi tuliochaguliwa specia diploma in education science and mathematics kwenye admssion letter kwenye ile form ya malipo kipengele B tuition fees tunalipia namba ngap kwa sisi kama sisi? manake sielew msaada pleas tuwekane sawa wapendwa
  13. E

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    msaada pliz kwa sisi 2li0chaguliwa specia diploma in eduction science and mathematics kwenye admssion letter kwenye ile form ya malipo kipengele B cha tuiti0n fees 2naplipia namba ngap? NAomben mnisaidie manake sielewi
  14. E

    Wale wa UDOM

    msaada nnaswali nmechaguliwa directly diploma in secondary education chemistry&maths ckupata nafas y kwenda a-level nlikuanauliza kama nkitaka kujiendeleza hapo baadaye nje ya education inawezekana ?? nakama inawezekana n koz gan ntakazo zsoma kutokana na masomo yangu nnayofundsha?\ msaada please
Back
Top Bottom