Recent content by Ezidon

  1. Ezidon

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona watanzania wanang'ang'ania sheria iruhusu waoe chini ya umri, acheni watoto wasome

    Wanaozaliana ni mazezeta yasiyo na akili, kumbe.!?!
  2. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 19 akamatwa kwa kumuua mpenzi wake

    Hahahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......!!!. ila watu wa hii jamiii ya forum wanalaana si bure
  3. Ezidon

    JamiiForums Tanzania Pata mbao mbora kutoka njombe.

    Hakuna longo longo Wala utapeli katika hili sawala. Kama unahitaji mbao kutoka njombe saizi yoyote. Naomba tuwasiliane kwa namba 0672-031-066. Kwa walio serious tu.Asanteni.
  4. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni mahsusi kwa ajili ya wanaume

    We nilichangudoa si bure. Unajua na aina za dushee? Eti nyeusi kichwa chekundu. Duh:D
  5. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuomba namba tu ushatangaza shida zako zote

    Mi mwana fa :D
  6. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuomba namba tu ushatangaza shida zako zote

    dah mi mwenzenu sijui nimepata? ninamanzi moja hivi kila nikimpa hela lazima akija aje na kitu kanunua. getto lilikuwa emputi ila now limejaa na linavutia. sa najiuliza ananiseti nini? jinsi anavyonicare mazee mpaka naogopa si kwa kupendwa huku aisee
  7. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia 80 ya mawazo ya wanaume kwa siku ni ngono?

    inategemea unaongelea wanaume wa aina gani? kuna wanaume wanaowaza kuleta maendeleo, na kunawanaume wanaowaza kuletewa maendeleo. wanaume wanaowaza kuletewa maendeleo muda wao mwingi huwaza ngono na lawama zisizo na mpango, ila wanaume wenyekuwaza kuleta maendeleo huwezi kuta anafikilia upuuzi huo.
  8. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitaji mshauri wa mambo ya kimahusiano na ndoa tatizo limenifika shingoni

    pm me
  9. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Valentine's day: Mtakie furaha ya siku ya wapendanao unayempenda humu JF

    happy valentine Ezdon!
  10. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…

    hizi njia unaeza kuzitumia hata kwa tomboy? maana kuna matomboy wakali mfano kama yule aliyekuwa mtangazaji wa eastfrica tv katika kipindi kimoja hivi cha kuchambua video za kibongo
  11. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nina harufu ya Papuchi maungoni mwangu!, mbona hakuna mwanamke anaenikataa?

    humu umeshawagegeda wangapi?
  12. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    Hapo ndipo ninapo mkubari sir god aisee. Mkiambiwa mungu hataniwi mnabisha, hayo ndo madhara yake sasa pata joto ya jiwe. Eti mchungaji, mchugaji gani unashindwa kuvumilia kajaribu kama hako? je ungepewa majaribu kama ya AYUBU ingekuwaje? nabado utajuta kuzaliwa.
  13. Ezidon

    JamiiForums Tanzania Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

    hahahaaa! mkuu ungechimba chini ukasema siri yako afu ukafukia.
  14. Ezidon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anadai nikimtumia sana sitamuoa. Nimemwacha na mwili wake

    we unapenda kuwekewa mwichi mi napenda kutwanga kwa haraka haraka tu me&u ni bonge la perfect combinenga
Back
Top Bottom