KYAMTUNDU;nalizungumzia BMK kwakua kimsingi hata hilo bunge uliitaje kazi zinabaki pale pale BKM kutunga katiba=kutunga sheria na mahakama ni kutafsiri sheria asa ukisema izungumzie nin kiundwe kabla hakijawa sheria si unaondoa uhuru wake kwan bunge maalum si bunge?Halitambuliwi kisheria kama...
Kwa kutumia nadharia ya mgawanyo wa madaraka baina ya bunge,mahakama na serikal unapata uhalisia kua mahakama haiwez kuingilia mipaka ya bunge.Hapa utatakiwa kukubaliana na wadau wengi kuwa katiba ni swala la maridhiano hivo kabla ya yote bunge linatakiwa kutafuta maridhiano
Kilimo kinatija kubwa kuchochea uchumi na ajira.Mf kama utaanzisha ESTATE katika kila wilaya Tanzania (kumbuka wilaya za mjin huwez wekeza mashamba bali viwanda mf wilaya za dar),
~utakuta ktk kila estate utajenga shule,hospital maduka,kampun za usafirishaji matawi ya benk vituo vya polis nk...
Naamin ukosefu wa ajira kwa graduate ni changamoto pia kwa taasisi za ukuzaji mitaji.
1.Kama graduates wakitafuta umoja wa kuwasemea wakafanya mazungumzo na taasisi kama UTT,DSE,TIC nk uwezekano wa kupata mfumo wa kupata na kukuza mitaji utakua mkubwa.
2.Kwakua serikal inasisitiza vijana...
Kukosa common goal ndio chanzo cha urafiki wa mashaka,znz na tanganyika waliungana kupinga ukolon na uasi kupitia pande mojamapo,leo kila nchi yataka juwa huru kiuchumi ila zapaswa kuwa na nguvu kiuchumi kufanya hivo lazma ziungane na kuwa taifa la kibepari au kijamaa zisizofungamana naupande...
"Mosi imepitwa na wakati kutokana na kukua kwa teknologia za ulinzi ujenzi na social psychology pia utamaduni ambao dunia inaanza kuubeba(haki za binadam,iman za dini na world orders). Kama ambaye ushahidi haukutosha aachiwa japo kaua iweje huyu aliekutwa na hatia awe tofauti na wengine?Sion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.