Recent content by Ezeki el

  1. Ezeki el

    WANAHARAKATI: MIGOMO haikwepeki...

    For those wanaotaka kuanzisha migomo, can they aford to loose 3yrs o more, hawajui thaman ya Muda. Maana agomae analazimisha mwingine amtatulie matatizo yake...watu kama hawa ndo wanakujaga kuwa viongoz wa ajab ajab wategemez kama hawa wa sasa tuwaonao
  2. Ezeki el

    Wanaoiponda IFM ni wendawazimu!

    dah ckujua kumbe kuna wapumbafu weng JF. JAMAN WENGINE MUWE MNAJIPANGA KABLA YA KUTOA MAWAZO YENU
  3. Ezeki el

    kina kaka naombeni majibu....(hata kinadada changieni)

    habar yako dada.....! ukwel hiyo ya ufundi wa jikon nayo inamata japo inategemea kwa sisi wavulana tumetofautiana katika kuwatazama wasichana na kujiuliza kama fulan ana ujuz wa kupika au lah hilo weng hawalitilii manani na kujiuliza, ila kwa baadh ya wavulana linatiliwa maanani ila kuna...
Back
Top Bottom