Kwa "1st years" wa universities zote tz: Tunaomba mrejesho kutoka katika vyuo vyenu!

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Nachukua nafasi hii kwanza kuwapongeza kwa kuchaguliwa, kufika, kusajiliwa na hatimaye kuanza masomo katika vyuo vikuu mbalimbali Tanzania.

Ni(tu)naomba mtupe mrejesho wa visa, mikasa, usumbufu, vituko, majanga na mliyoyapata ama kuyashuhudia katika harakati za kuripoti kwenu ili iwe changamoto ambazo mwisho wa siku zitatupa uzoefu ambao wakati mwingine vijana we(tu)nzetu watatumia ili kuchukua tahadhari mapema.

Naomba kuwasilisha nikitegemea kupata michango jengefu kutoka kwenu. Masomo mema.
 
Udsm nimeshuhudia watu washamba,cjui walikua hawajawahi kukanyaga town katka maisha yao yote au vp!
 
kwa hapa makumira hakuna usumbufu saaana ila rooom ndo mishe bu mimi binafsi sha maliza kila kitu kwa amani ya bwana
 
Out of topic kidogo..kwa anayejua hivi boom kwa mara ya kwanza linaingizwa kiasi gani kwenye akaunti ya mwanafunzi?

Wale wa IFM tuonane jumatatu.
 
kw kununua masimu makubwa makubwa ya kichina ,halafu kila mtu wanayekutana naye wanajua ni first year mwenzao..
 
Hapa MUCE kuna foleni za kufa mtu kuanzia asubuhi hadi jion.... Sijui kama mambo yanaweza kuisha mapema kama hakutakuwa na utaratibu mzuri wa kuwapokea mwaka wa kwanza
 
Huku st john dodoma wanachuo wa mwaka wa kwanza wamefika tangu asubuhi na kuambiwa wataanza kupokelewa kuanzia saa nane ili wapewe vyumba na kusubiri usajili j3.
 
haha !kna dogo wa Udsm , ananiuliza eti COCO BEACH kiingilio sh. ngap?
 
KIUKWEL MI BINAFS NIPO MWENGE 1ST YEar wametukaribisha vizuri ila cha kushangaza wachaga wameweka wanafunzi vitega uchumi kwani wanatupangishia vyuma kuanzia elfu hamsini kwenda mbele
Nachukua nafasi hii kwanza kuwapongeza kwa kuchaguliwa, kufika, kusajiliwa na hatimaye kuanza masomo katika vyuo vikuu mbalimbali Tanzania.

Ni(tu)naomba mtupe mrejesho wa visa, mikasa, usumbufu, vituko, majanga na mliyoyapata ama kuyashuhudia katika harakati za kuripoti kwenu ili iwe changamoto ambazo mwisho wa siku zitatupa uzoefu ambao wakati mwingine vijana we(tu)nzetu watatumia ili kuchukua tahadhari mapema.

Naomba kuwasilisha nikitegemea kupata michango jengefu kutoka kwenu. Masomo mema.
 
Samahana hii ni out of topic hiv jaman kuna uwezekano wa kuw na second selection ya mkopo maana maisha ni magumu kwa peasnt bla mkopo
 
Back
Top Bottom