Recent content by Eyeson Property

  1. E

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    GPSA Haina Njaa kali ww
  2. E

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Fala sana Ujue ww
  3. E

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja la Mabitini Mwanza limekuwa kikwakwazo Cha kuchelewesha watu katika shughilii zao

    Pandisha hii Changamoto ya Ujenzi wa daraja la Mabatini kwenye Social Networks mpaka sasa ni Kero na Magari hayapiti kwa wakati na Nje za Mchepuko Mbovu na Ndogo...Miezi 5 sasa hakuna Mwangaza
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Pandisha hii Changamoto ya Ujenzi wa daraja la Mabatini kwenye Social Networks mpaka sasa ni Kero na Magari hayapiti kwa wakati na Nje za Mchepuko Mbovu na Ndogo...Miezi 5 sasa hakuna Mwangaza
  5. E

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa daraja la Mabatini jijini Mwanza umekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo

    Pandisha hii Changamoto ya Ujenzi wa daraja la Mabatini kwenye Social Networks mpaka sasa ni Kero na Magari hayapiti kwa wakati na Nje za Mchepuko Mbovu na Ndogo...Miezi 5 sasa hakuna Mwangaza
  6. E

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa daraja la Mabatini jijini Mwanza umekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo

    Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu. Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina vumbi na barabara Hazimwagiwi maji.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Mkuu nipe connection ya Transport and Logistics officer
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    Walimu kila siku kelele ebu Tulieni mfanye interview
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Kazi yenu ni nzuri na Bora sana PSRS Mbarikiwe sana
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali kada ya Transport officer

    Soma notes zote za BLTM
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    The Standard Gauge Railway (SGR) projects in Kenya and Tanzania are significant infrastructural developments in East Africa, each with distinct characteristics in terms of cost, length, and operational specifics. Kenya's SGR: Phases and Costs: Phase 1: The Mombasa to Nairobi line spans...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

    Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania 1.UCSAF 2.TPDC 3.TCRA 4.TASAC 5.LATRA 6.PSSF 7.EWURA 8.REA 9.TANAPA 10.TBA
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nauli ya likizo kwa mtumishi wa umma

    Ubarikiwe sana Senior
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nauli ya likizo kwa mtumishi wa umma

    Natumia but hakuna calculation rates
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nauli ya likizo kwa mtumishi wa umma

    Maoni yako ila kwangu niko sahihi
Back
Top Bottom