Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 1,002
- 1,472
Wakuu maswali gani yanaulizwa kwa kada ya Transport officer, kwenye paper, tupia hapa unayoyakumbuka kama ushawahi kufanya paper za kada hiyo.
Kwanini usisome kwa marefu na mapana ukaelewa na badala yake umeamua kufuata njia ya mkato?Wakuu maswali gani yanaulizwa kwa kada ya Transport officer, kwenye paper, tupia hapa unayoyakumbuka kama ushawahi kufanya paper za kada hiyo.
shukran mkuuKuna kipindi niliona paper ilikua ya transport analysis. Yalikua cost minimization, lead time na vitu vingine kama ivyo
nikujua maswali nitaelewa yanatokea kwenye Topics zipi ndo nipitie mkuuKwanini usisome kwa marefu na mapana ukaelewa na badala yake umeamua kufuata njia ya mkato?
Njia ya mkato ndiyo njia ndefu zaidi maishani.
WATU WAKIKUPA MASWALI YA UONDO HAPA JUKWAANI HALAFU USIYAKUTE KWENYE INTERVIEW ITAKUWAJE? UTAFANYA NINI? UTAMLILIA NANI?
yeah man... tarehe 14Hii ya kesho LGA nn man???