Recent content by Eyes of Tanzania

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anawatumia Wananchi kama daraja tu!

    Mimi naona amefikia kiwango cha kitaifa ndio maana anashughulika na mambo ya kitaifa. Na watu wa aina hii kule siku za usoni usije kuona akawa kiongozi wa kitaifa pia. Ishu ya jimboni kwake ni ndogo sana na anao uwezo wa kuwasaidia. Lakini sijawasikia wana Singida wakimlalamikia Lissu kwamba...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    Mwandikie kwa kumnukulia vifungu vya sheria vinavyoonesha uwezo wa RC. Kusema tuu hamuwezi Makonda bado hujaitetea hoja yako sawasawa. Itetee hoja yako ili Makonda amshinde Lissu kisheria
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    The right voters are the registered Lawyers.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    "The writer intended to be read as Island Tanzania" (not Ireland) make some corrections there below.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    My eyes needs to see someone who will lead TLS under the ethics of a highly legal entity, it doesn't matter whether Tundu Lissu or someone else with similar competence. Our country now have at a stage whereby the key institutions/ authoritative office have lost their decision making for being...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu abaini mbinu chafu kwa chama fulani kuweka mgombea urais TLS

    Uchaguzi wa TLS ujikite katika kuangalia mgombea gani anaweza kuifanya TLS iwe mstari wa mbele katika kupigania Katiba ya Nchi isivunjwe na mtu yeyote yule. Kwa mujibu wa Katiba ya JMT hakuna mtu aliye juu ya Sheria. Viongozi wote wa Nchi toka Mjumbe wa Nyumba 10 hadi Kiongozi mkuu wa Nchi...
  7. E

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Nionavyo mimi ni suala la "Jurisdiction" inavyoonekana hana Mamlaka kabisa na kama anayo basi yeye mwenyewe atoe "Arrest Warranty" Naamini mwenye "Jurisduction" ni yule aliyepewa Mamlaka ya kuandika Hati ya Kukamata. Hili sio suala la "Politics" ni suala la kisheria zaidi. Kwa suala hili Ni...
  8. E

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Moja ya uhalali wa mtu anayemuita mwenziwe ni lazima awe na uhalali wa kumuita muitwa. Kama muitaji hana mamlaka ya kumuita muitwa, basi muitwa anayo hiyari ya kwenda kwa muitaji au la. Inawezekana Mh. Mbunge yupo sahihi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Mahakama zetu

    Hivi majuzi tumethibitishiwa kwamba Mh. Judge Donnely wa Mahakama Kuu ya USA hapo New York ameweza aliwasikiliza hoja za wanaharakati na kuamua kusimamisha kwa muda Amri ya Rais Donald J Trump hadi uhalali wa amri hiyo uchunguzwe. Amri hiyo ilihusu zuio la Rais kwa watu wanaoingia USA kutoka...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Trump : Kama Mexico hawalipii ukuta hakuna haja ya makutano

    Trump yupo juu sana. Anafanya kile raia wake wanachokitaka na sio atakavyo yeye. Huyu jamaa yetu bado hajui nini hasa raia wake wanahitaji. Ndio maana misuguano miiiingi @ siku mikiki mikiki tu na sijui hadi lini?
Back
Top Bottom