Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Tundu Lisu ambaye ni Mbunge wa kuchaguliwa wa Jimbo moja huko mkoani Singida, ambaye pia ni ana cheo kikubwa chadema, sasa hivi pia nimesoma mahali anataka pia kugombea Uraisi wa TLS mtu mmoja huyu huyu!
Binafsi sijawahi kumsikia Tundu Lisu Bungeni akiongelea mambo yanayowahusu Wananchi wa Jimbo lake la Mkoani Singida ambao ndiyo wamemfanya awe jinsi alivyo, nikimaanisha ndiyo waliomfanya apate jukwaa la kuongelea na kusikilizwa sijawahi kusikia akihoji kuhusu upatikanaji wa Maji, Nishati, au Barabara, kwa Wananchi waliomchagua ila nimemsikia kwenye maswala ya Kitaifa tu mara sijui Katiba, mara Muungano wa JMTZ, mara sijui Raisi wetu ni Dikteta, hii inaonyesha kabisa kwamba Tundu Lisu anawatumia wananchi kama ngazi tu kwa manufaa yake binafsi!
Hata kukamatwa kwa Tundu Lisu mara kwa mara ni kwa sababu ya mambo mengine yote lkn siyo kwa sababu ya Wananchi wa Singida, bali ni aidha Zanzibar au mambo ya Kitaifa!
Mzee W.Slaa kwa mfano alikuwa pia kwenye maswala ya kitaifa lkn pia alipigania mpaka Wananchi wa Jimbo lake wakapata Maji, lkn Tundu Lisu hafanyi chochote kwa Wananchi wa Jimbo lake hivyo yuko hapo kwa manufaa yake binafsi tu!