Kamata fursa hiyo,usiulize sababu ya bei kushuka kutoka 60,000,000/= mpaka 3,000,000/=,utawahiwa na wajanja wapenda vitonga.
Hongera,umeolewa kumbe? Siku hizi wanaume bidhaa adimu,ukiwa mchepuko utaitwa mume.
Nilidhani wewe ni nungayembe kama@Rebeca 83 aliyekuwa anaponda bikra juzi kati...