Recent content by Extraordinary

  1. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Hahahaa kalikuwa kafupifupi hv! Yan akiongea kama hataki vilee
  2. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Alipoondolewa aliletwa mama mmoja hv kutoka kama sio kisutu bas zanaki daah yule mama alikuwa nomaaa watu walikuwa hawampendi, hakukaa sana akaondolewa
  3. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Heee jaman yule bibi alifariki. . Si ndo ofs yake ilikuwa imejitenga kwa nyuma hv
  4. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Yan yule mama alikuwa anapendwa!
  5. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri : Ujauzito wa my wife unanipelekea nitake kuchepuka

    Hahaaaa
  6. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mwanamke mzuri lakini...

    Kamfanyie plastic surgery huyo mtoto, rekebisha pua, mdomo, masikio n.k ni ushaur tu
  7. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wangu wamenivunja moyo kwa kumkataa mchumba wangu

    Kwahyo kwa mtazamo wako unahis huyo msichana hafai kabisa? Maana hyo haina tofauti na kumtenga..
  8. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wangu wamenivunja moyo kwa kumkataa mchumba wangu

    Bora we umepata nguvu ya kuuliza hilo swali maana mi nilikuwa nashindwa niulize vp nsije ambiwa nadharau wazaz wa watu.. daah nahis hao wazazi huko juu hawapo sawa kabisaaa
  9. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wangu wamenivunja moyo kwa kumkataa mchumba wangu

    Mmmh hao wazazi wako nimeshindwa kuwatolea maelezo!
  10. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Hiki sio Kitambi ni Jitambi!

    Duuuh hatari
  11. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni sifa wafikisheni wenzi wenu.

    Ha ha ha ndo usimkere sasa
  12. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakyanani naenda kwa mganga

    Safi sana
  13. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakyanani naenda kwa mganga

    Duu mkuu hyo njia mbadala mbona ni hatar sana
  14. Extraordinary

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakyanani naenda kwa mganga

    Ha ha ha kuvua pichu gharama eeeh?
  15. Extraordinary

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima kuitwa BABY na mpenzi inanichefua

    Umeona eeeh
Back
Top Bottom