Recent content by Extra focus

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kila nikipata mpenzi au mchumba mpya kama hana kazi ndani ya wiki mbili tu anapata kazi nzuri

    Sawa mkuu Sisi tukusaidie nini?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Pole sana mkuu Wenye pesa wanatafuta bikra ili kusafisha nyota zao
  3. E

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar ni washamba

    Pole sana mkuu kwa changamoto ulizopitia. Kuhusu watu kuishi Dar kizembe bila kufanya kazi umejaribu kuishi hapo ukaona kama unaweza kutoboa miezi mitatu ukiwa mvivu kama wao ?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nina mwanamke mwenye maneno makali sana. Nishaurini, naona amevuka mipaka

    Pole sana mkuu kwa kugongewa
  5. E

    JamiiForums Tanzania Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

    Mkuu wewe ni mwanamke au mwanaume? Kwenye hadithi yako kuna sehemu kadhaa unabadili jinsia
  6. E

    JamiiForums Tanzania Sogea tuishi ndiyo ndoa inayodumu kuliko zote

    Achana na mambo ya kufariki bhana. Mbona wanawake mnawaza mali muda wote?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Sogea tuishi ndiyo ndoa inayodumu kuliko zote

    Akishalipa mahari ukawapa baraka hii ni ndoa kamili kabisa
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

    Anzeni kumchunguza Dulla na mama yake
  9. E

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Anashauri raia wake wauawe halafu anakimbilia nje kusema anaandaa uchaguzi wa amani
  10. E

    JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Wauaji na wezi wa rasiliamli zetu mbona hawajibu tuhuma na kukaa pembeni kupisha uchunguzi?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga, Azam, Singida Black Stars na Fountain Gate Academy kuhamia ligi ya Zanzibar Muda wowote kuanzia sasa

    Waambie wafanye upesi mkuu, wanachelewa sana
  12. E

    JamiiForums Tanzania Pongezi Serikali Yetu Kutonyamazia Upotoshaji wa Media za Mabeberu Kutubagaza, Let's Be Proactive Rather Than Reactive, Tuwaambie Ukweli Wote!.

    Watoto wako watasikitika sana siku wakija kusoma hizi post zako. Jitahidi kuwahurumia mkuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

    Kinadharia uko sahihi ila kivitendo mambo sio mepesi hivyo. Wanaume tutafuteni pesa tu.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

    Wanaume Africa hawawezi kufa kwa upweke, vijiwe ni vingi na ujamaa ni mwingi. Wanaume wengi Africa wanakufa kwa stress za ndoa.
Back
Top Bottom