Dah! Ebana pole sana ndugu, mwanzo huwa mgumu, lakini tusiishi kwa mazoea, eti kwa kuwa ninafanya hivi, basi itakuwa vile, NO! sikatai, sio wote wasaidiwa huo wapo tayari kusaidiwa, na pia unapokuwa unamsaidia mtu, jaribu kuwa na full-background yake, japo kwa ufupi tu, sisi watanzania ni wepesi...