Help!!!! Whatsapp kwa kutumia pc

Help!!!! Whatsapp kwa kutumia pc

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,210
Reaction score
12,711
WAKUU hii whatsapp yangu kwenye pc tokea jana haifanyi kazi yani kama network yake imekata...nini tatizo mwenye maujanja anipunguzie nitatue hili jambo
 
Frank G halafu inaonyesha kama haina network vile maana niki search vitu sipati kama apps ya twitter
 
Last edited by a moderator:
Je pc yako ni equinox au southensun?
 
Je pc yako ni equinox au southensun?

sometime it behave like equinox and sometimes as southernsun and the reason behind the equinox ni hii below
The equinoxes are the only times when the mouse is perpendicular to the computer Equator. Thus the Northern and Southern cursor are illuminated equally. (At the solstices, that angle reaches its minimum of 66.5°, corresponding to 90° minus laptop's screen axial tilt....

that is the only reason but for southernsun i'm still investigating it
 
mbna me bluestack inaniletea habr ya graphcs kwamba hazpo
 
mi naona jaribu kuiuninstal hiyo kwenye bluestack ile sehemu ya manage application halafu idownload upya kwa kutumia store nyingine tofauti na google play
 
mbna me bluestack inaniletea habr ya graphcs kwamba hazpo

zidownload tu angalia display adapter ya kompyuta yako ni ya aina gani kama ni intel nenda kwenye website yao zinapatikana
 
mi naona jaribu kuiuninstal hiyo kwenye bluestack ile sehemu ya manage application halafu idownload upya kwa kutumia store nyingine tofauti na google play

duh umetisha kaka unajua bluestack ni nini?
 
mi naona jaribu kuiuninstal hiyo kwenye bluestack ile sehemu ya manage application halafu idownload upya kwa kutumia store nyingine tofauti na google play

mkuu nimeunistall tayari na nikaweka tena , ila sasa hapo kwenye kutokutumia google play umenichanganya kidogo
 
mkuu nimeunistall tayari na nikaweka tena , ila sasa hapo kwenye kutokutumia google play umenichanganya kidogo

kwenye kusearch application si unateletewa store za kampuni tatu ikiwemo hiyo google play store na amazon apps sasa ww chagua ile store ya kwanza iliyo na chata 1
 
Attachments

  • Untitled.png
    Untitled.png
    264.3 KB · Views: 73
ebana mimi ninatumia bluestack, nili-download whatsapp na ninaitumia vizuri, ila nahitaji kubadilisha user account ila sioni sehemu ya kufuta account, pia nikiiona nikifuta inarudi, kufuta bluestack issue, kwani mb karibia 300, what to do waungwana?
 
Back
Top Bottom