Asante kaka. Lakini siorahisi kama unavyo fikiria,lazima uwe na kiasi kingi cha pesa kuifanyia ukarabati iwe na muonekano wa kiospitali mkuu, alafu usajili, alafu vifaa vya hospitali. Hapana kaka nibora shule kwasababu inausajiri wa kutosha sana wa shule ya seco.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha baba jambo zuri na pia mawazo mazuri ya kiubunifu ila unajua nini kitakacho tokea. Kwanza utakuwa ni riski taker kwasababu mastaa wanakuja kwako inamana wale wanaohitaji kusoma na mashabiki zao woote watajaa mabalabalani na hata mitaani, alafu kumbuka ili uwe mkufunzi lazima upitie...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.