Ungekuwa haujafanya kazi kwako ningekubali
Lakini piah hapo nimeongea vitu vingi
1. POSITIVE ATTITUDE
2. GROWTH MINDSET
Unaweza ukawa unasali lakini negative mindset yako ikakufanya ukakwama au ukaisha kabisa ndio maana tukaitwa human BEings you have to BE positive na hatukuitwa human DOings...
Sijajua wewe ni dini gani? Ila kuna kitu kinaitwa fungu la kumi.........
Amka asubuhi na mapema omba, kabla haujafungua biashara omba, unqvyofunga biashara omba ukiuza sana mwambie Mungu ahsante, usipouza kabisa mwambie Mungu ahsante then toa fungu la kumi kila mwisho wa mwezi ikiwezekana funga...
Baba elimu ya secondary sio kama unavyofikiria ndio wanavyofanya ila sema sasa wanaamua kwamba ukifika form four unapumzika ndio wanapunguza Idadi ya masomo wewe wewe kaka bora ungesema wafute at least form five na six iwage chuo at least japo nayo sikubaliani nayo 😂😂😂
Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule 😂 utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana.
Wanafanya kazi ipasavyo sio kazi tu wanamshikamano, wananguvu, wachapakazi ani kila kitengo pale wako vizuri sana hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.