Recent content by excellentone

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hili la Kenya kutaka Ofisi za UN Entebbe kuhamishiwa Nairobi Kenya, kutuzindue Watanzania juu ya ubinafsi wa Wakenya:

    Mimi tayari nishasoma, ni LAMU, sasa na wewe lete nadharia za usomi wako, be professional please
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Singida (CHADEMA) Jesca Kishoa Kafulila apata ajali Dodoma, hali yake ni mbaya

    Acha utoto, wewe unajua acceleration deceleration injury
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hili la Kenya kutaka Ofisi za UN Entebbe kuhamishiwa Nairobi Kenya, kutuzindue Watanzania juu ya ubinafsi wa Wakenya:

    Kiswahili asili yake ni Lamu ila mimi sijui Lamu ipo nchi gani, nadhani ipo Tanzania, halafu kuhusu UN kuhama, kizuri cha jiuza Kenya ipo vizuri kidemokrasia na kiuchumi, sisi tulie tu
  4. E

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Rais Magufuli afungua kituo cha kisasa cha mabasi Msamvu

    Does a mental illness differ from a mental disorder?!?!?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kambi ya upinzani waitaka Serikali kuwasikiliza marais wastaafu Jk na Mkapa

    Kwenda ikulu sio kitu Cha kulingishia watu!!!!........ Iddi Amin, Mobutu, Bokassa na wanaofanana nao wote walikuwa na ikulu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Sauti Kubwa: Magufuli anatumia uwanja wa ndege Chato “kupiga dili”?

    Is there a difference between a mental illness and a mental disorder??!!!!!!!?????
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake pekee ndio humlilia Rais Magufuli?

    Usilinganishe tiss na CIA, Wana kitu wanaita secret service ambacho pengine unaweza fananisha na tiss kwa maana kwamba vyote vipo chini ya ikulu
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aeleza Afya yake kwa sasa

    Bongo siasa hakuna tena kumebaki majivuno na risasi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Siasa si Mbowe Lowassa au cdm sipotezi muda na lunatics wa jinsi yuko
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tathimini ya utawala wa Magufuli

    Kwa hiyo unakubali magufuli hafai sio riziki ila tatizo lako hujaona mbadala wake, lakini siyo lazima wawe cdm, jaribu cuf lipumba
  11. E

    JamiiForums Tanzania Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

    Kuna quote za James Mattis, retired 4star marine general US military currently DoD secretary kuhusu business of killing innocent by military personnel
  12. E

    JamiiForums Tanzania Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

    Wewe dada Mungu anakuona, wenzio KGB na sasa FSB Kwanza wanaaminishwa kutokuwepo kwa Mungu halafu wanakua morally bankrupt na wanakua huru kufanya uongo na uovu wa aina yoyote ile. We haya we wengine bado tunaaminishwa uwepo wa Mungu
Back
Top Bottom