Recent content by excellence

  1. E

    Serikali itoe fedha kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya chakula cha mchana

    Nadhani jambo hili loko wazi. nashangaa tunashindwa kuelewa nini. hakuna michango yoyote shuleni, ili kumwezesha hata yule mzazi masikini kabisa kumudu kupeleka mtoto wake. Kama wazazi wataamua wenyewe kwa ajili ya suala la kuchangia chakula bila kulifanya kuwa suala la ki shule, au la lazima...
  2. E

    Gari zinauzwa

    kama hii mkuu ipo?
  3. E

    Gari zinauzwa

    Sawa mkuu
  4. E

    Gari zinauzwa

    Nitapata prado SX
  5. E

    Best Quality Bluetooth Car Charger

    Unaamana gani. Unaposema ina blue tooth au fm feadio. Inaunganaje na radio ya gari?
  6. E

    Niliokoka baada ya kusikiliza Kwaya ya Makongoro na Uliyankulu!

    Mungu aliyeruhusu hilo ndiye aliyeruhusu Stefano auliwe. Paulo ateswe na zaidi sana mwanaye mpendwa Yesu afe msalabani. Na kama hujayakana maisha ya ulimwengu huu kwa ajili ya Yesu hufai kuwa mfuasi wake.
  7. E

    Niliokoka baada ya kusikiliza Kwaya ya Makongoro na Uliyankulu!

    Kuokoka ni jambo halisi. Na wokovu ni zaidi ya sala ya toba. Ni mabadiliko makubwa yanayotokea ndani ya mtu anapokutana na Yesu personally. Ni zaidi ya tu kuwa na dini ya kikristo. Ila kwa sasa kuna michanganyo na ujanja ujanja kiasi kwamba ni vigumu kuwatambua walio katika kweli ya Mungu...
  8. E

    Niliokoka baada ya kusikiliza Kwaya ya Makongoro na Uliyankulu!

    Ukristo ni zaidi ya maisha haya. Wanafunzi wa Yesu walikufa katika dhiki mbalimbali kwa kueneza injili na bado walimwamini Mungu. Leo ukristo ni wa kutafuta Mali, na mambo ya dunia hii.
  9. E

    CAG Profesa Assad asema moto ni uleule

    Atende kwa mapenzi ya nchi
  10. E

    Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

    Sijui kama ulimsikiza vizuri Mwakyembe, Ni ajabu humu JF. Hatuchambui mambo kisomi Bali ki siasa zaidi. Ukisha kuwa nje ya msimamo wa upinzani basi pointi zote hazifai. Na pia hata kama pointi zako hazifai kama uko upinzani, zitakuwa za maana sana!
Back
Top Bottom