Recent content by Exaud Mamuya

  1. Exaud Mamuya

    Nape: ndan ya Ktn news

    Ameongeaje? Kama una clip naomba
  2. Exaud Mamuya

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Mbowe angestahili kuwa waziri mkuu kamili na wala siyo kivuli.
  3. Exaud Mamuya

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    nimetoka ofisini kila Mtu anaongelea huu waraka na nilikuwa msibani pia watu wengi wanaongelea huu msumari
  4. Exaud Mamuya

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    Naona CCM na vibaraka wake wanaingia kwa thread mbali mbali ili kupotezea uzi wa Mh Lema , Mara Kitila Mkumbo amekuja na Sifa za mgombea urais , mara mtoto wa Chcha Wangwe apigwa vita Cdm ,.huu ujumbe wa Mh Lema ni hekima kwa wanaomuogopa Mungu
  5. Exaud Mamuya

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    usalama wa Taifa waliposhindwa kulinda Nchi na badala yake kuitafuta Chadema hapo ndipo Taifa lilipo angamia na uhalifu kuongozeka ? iko wapi Geneva ya Africa ?
  6. Exaud Mamuya

    Tujikumbushe ahadi za kamanda Lema: Fedha za gari nitawakopesha wananchi!.

    Wananchi wa Arusha wamefundishwa ujasiri na salsa wako tayari kudai haki yao kwa nguvu bila woga. Hawana haja ya mkopo kwani wanapambana wenyewe. Mbunge wangu Lema ninakuamini.
  7. Exaud Mamuya

    CCM Na CHADEMA Arusha kuendesha tamasha LA pamoja

    Hizi ni ndoto za alinacha
  8. Exaud Mamuya

    Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

    Pamoja sana mh mbunge. Mungu awajalie majeruhi wote wapone haraka na kurejea katika shughuli zao za kila siku.
  9. Exaud Mamuya

    Gari ya CCM yakamatwa na mapanga, sime na marungu, wakimfuata Mathayo Torongey

    Wanatumia hila na nguvu za dola ila Mungu yuko upande wa Chadema Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  10. Exaud Mamuya

    Bakwata waunga mkono katiba ya wananchi

    Safi sana waislamu! CCM inatkiwa kujua katiba inayohitajika siyo ya ccm bali ni ya Watanzania. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  11. Exaud Mamuya

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Hakika Mh Lema umeonyesha uzalendo wa kweli kwa Taifa lako kwa kujikita katika mambo ya msingi na kupuuzia habari za posho kama wabunge wa ccm wanavyolipa kipaumbele swala hili la posho. Keep it up bro! Maana hata ukikaa nyumbani tu naamini mkeo anaweza kukupa home allowance ya zaidi ya hiyo...
  12. Exaud Mamuya

    Tanganyika imerudi

    A. Ndiyo
  13. Exaud Mamuya

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Hakika wangetokea watu jasiri 100 kama Mh Lema katika Taifa hili basi kwa hakika tungeipata Tanzania yenye neema. Keep it up bro! Tuko nyuma yako kamanda.
Back
Top Bottom