Nape: ndan ya Ktn news

Nape: ndan ya Ktn news

Na yeye atakuwa amejiunga na kile chama kilicho hamisha makao makuu yake kutoka mtaa wa ufipa hadi nairobi kwenda kutolea matamko huko? naona notion ya sultan sayid seyid kuhamisha makao makuu kutota muscar kuja zanzibar bado inaendelea
 
Hana busara huoni kamakatalia dreva Nairobi eti ana matatizoya saikolojia hahaaa
Waliwezaje kumtuma yule kachelowa sirin nrb harafu washindwe kutuma watu open wazi kwenda kuchukua maelezo! Hata Lisu wanapashwa waende wamchukue maelezo,unataka kuniambia wanasubili hadi arudi tz kweli,
Hebu chukulia hii ishu imefanyikia kwenye anga za fbi unadhani wangesubili hadi arudi us ndio wamhoji shahidi au mtuhumiwa?
Kunyamaza nako ni busara.
 
Na yeye atakuwa amejiunga na kile chama kilicho hamisha makao makuu yake kutoka mtaa wa ufipa hadi nairobi kwenda kutolea matamko huko? naona notion ya sultan sayid seyid kuhamisha makao makuu kutota muscar kuja zanzibar bado inaendelea
Kwani wewe shida yako nini?Umepigwa bao?Hamisha magoli km wengine. UNAOGOPA NAPE AKIMUUNGA MKONO LISSUE KWA MAPAMBANO YAKE HETE MBELE YA MTUTU.ITAWAMALIZA HADI ROHO.
 
Kwa hiyo wataka aogope kuongea anachotaka kama unavyoogopa weye?
Yeye mwenyewe alishasema yeye ni mtoto wa Kimakonde atishwi wala aogopi,amelala vichakani kukitoa chama kwenye matope wao wakila via na ....!!sasa aogope nini....?????
 
Ukiwa Kiongoz Afrika ukitoka madarakan au kupokonywa cheo unakua na Busara sana
Ni kweli kwani hakuna kiongozi aliyekuwa bogus kama Nape na nilitegemea kama kuna uadui wa kweli kwenye siasa, huyu angeendelea kutengwa na wapinzani - thubutu yako!! Leo amebadilika kuwa jembe kwa wapinzani na anaonekana ni kiongozi mzuri. Hakuna adui wa kudumu katika siasa hata ukiwatukana wako radhi kumeza maneno yao.
 
Back
Top Bottom