CCM Na CHADEMA Arusha kuendesha tamasha LA pamoja

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Ccm na chadema Arusha watakuwa na tamasha LA pamoja litakalo ratibiwa na bavicha na uvccm kutakuwepo na Mpira wa miguu na baadae kuvuta kamba

Mwisho ni pambano kabambe LA ngumi kati ya Mbunge Lema wa chadema na mwanachama waccm na rafiki wa karibu na Lema Jumanne Mjusi

Hakutakuwa na kiingilio lengo ni kuendeleza umoja na mshikamano wetu Arusha
 
Mmmmmmmmmmmhhhhhhhhh!!! Hii taarifa hiiiiii???????.?.?.?..
 
Ccm na chadema Arusha watakuwa na tamasha LA pamoja litakalo ratibiwa na bavicha na uvccm kutakuwepo na Mpira wa miguu na baadae kuvuta kamba

Mwisho ni pambano kabambe LA ngumi kati ya Mbunge Lema wa chadema na mwanachama waccm na rafiki wa karibu na Lema Jumanne Mjusi

Hakutakuwa na kiingilio lengo ni kuendeleza umoja na mshikamano wetu Arusha
Hili likiwezekana na katiba mpya itawezekana!!!!
 
...

....Nani kakudanganya kwamba ccm ipo Arusha Makamanda walisema sheria ikiruhusu hata jiwe ligombee !!!
 
U....k ....huuu na likifafinyika sitahama chadema ila ntamchukia milele....
 
U....k ....huuu na likifafinyika sitahama chadema ila ntamchukia lema milele....
 
Ccm na chadema Arusha watakuwa na tamasha LA pamoja litakalo ratibiwa na bavicha na uvccm kutakuwepo na Mpira wa miguu na baadae kuvuta kamba

Mwisho ni pambano kabambe LA ngumi kati ya Mbunge Lema wa chadema na mwanachama waccm na rafiki wa karibu na Lema Jumanne Mjusi

Hakutakuwa na kiingilio lengo ni kuendeleza umoja na mshikamano wetu Arusha

Source please!
 
......jomba peleka zekomedi italipa!!!

gz9.jpg
 
hahaha lema hawezi kukaa na mjusi lazima akimbilie kwenye mabanda ya kitimoto...mjusi ni kiboko ya lema na mungi
 
hapanaaaa...nimekataa! CCM haipo Arusha, na kama Ipo na wanaandaa tamasha la pamoja na CHADEMA...ni mbinu Imechezwa na buku7 wa Lumumba ili kujisafisha kwa wana-arusha ambao hivi sasa wamefunguliwa minyororo ya utawala wa kijuha na kuvishwa utawala wa Chama makini chini ya Rais wao Godbles Lema. Kwa hakika Arusha ni Jiji la kuigwa katika harakati za mabadiliko hapa Nchini, na kwa hali ilivyo Arusha kila kukicha watu wa Mikoa mingine tunatamani kuwa Wakazi wa Jiji la Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar Es Salaam (Ubungo na Kawe).
 
Ccm na chadema Arusha watakuwa na tamasha LA pamoja litakalo ratibiwa na bavicha na uvccm kutakuwepo na Mpira wa miguu na baadae kuvuta kamba

Mwisho ni pambano kabambe LA ngumi kati ya Mbunge Lema wa chadema na mwanachama waccm na rafiki wa karibu na Lema Jumanne Mjusi

Hakutakuwa na kiingilio lengo ni kuendeleza umoja na mshikamano wetu Arusha
Mbona 1st April ishapita, au mods walichelewesha huu uzi wako?
 
Ccm na chadema Arusha watakuwa na tamasha LA pamoja litakalo ratibiwa na bavicha na uvccm kutakuwepo na Mpira wa miguu na baadae kuvuta kamba

Mwisho ni pambano kabambe LA ngumi kati ya Mbunge Lema wa chadema na mwanachama waccm na rafiki wa karibu na Lema Jumanne Mjusi

Hakutakuwa na kiingilio lengo ni kuendeleza umoja na mshikamano wetu Arusha
Kashindwa kumshawishi huyo rafiki yake kwamba ccm hakufai?
 
Back
Top Bottom