MREJESHO:: nashukuruni sana kwa michango yenu, niliamua kuendelea kujichanga tena na hatimae nimefanikiwa kuchukua IPhone 12 Pro Max. Ni siku ya tatu leo toka nimeichukua, nimefurahia sana picha zake, nimepata picha nilizokua nahitaji! Iko poa sana
Habari zenu wana jamvi,
Naomba kufaham kwa mwenye uelewa kuhusu wire transfer. Huchukua siku ngapi kwa pesa iliyotumwa kutoka nje ya nchi kwa njia ya wire transfer kukufikia kwenye account yako ya bank hapa nyumbani?
Kuna mtu niliekua namtumia mzigo mara kwa mara nje lkn pesa ilikua ikitumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.