Gwajima ebu nenda fasta kwa wanausalama tuna me ya kujadili ili lako lisitusumbue. Namuona Gwajima kama hekima hakuna katika kichwa chake. Hivi hajajifunza chochote ktk maisha ya Suleimani na Abraham
kuendelea kula chakula wakati umeshiba eti kwa sababu tu kipo ni uzembe wa kufikiri kuna haja ya kutumia busara katika nafasi zetu. Eti kwa mujibu waa katiba wakati muda umeisha, it doesn't bring sense
Wonderful elaborations! I heard Gwijima's chocking remarks against his fellow servant of the most high I was really astonished. Here, I can see how the waves of politics are invading these servants to extent of diverting from the scriptures demands. I am full conviced that the knowleadge of...
That's LOGIC.
Selfishness will demolish this country even more than this. Mtwara keep it up, even freedom fighters did the same to rescure the potentials from the unsatisfied bellies.
POSSIBLY YOU DESERVE, since from the HOLY BOOKS we read that human beings are made weak but are given an opportunity to transform the their weaknesses into a more admirable end. I encourage my dearest Tanzanians to only TRUST this MAN. I know he once shown some little errors which are more...
Mwananchi: Msh. Ebu tueleze hawa wawekezaji (wazungu) wanao chimba madini ya eneo lako la wilaya una taarifa zozote na kama ndio nini hatima ya wananchi kuhusu kunufaika kwao?
Mbunge: Ndugu zangu wananchi kweli mimi sijui chochote kuhusu hao wawekezaji na sijui watafanya nini kwa ajili...
Tanzania inahitaji mtu makini mwenye kutoa maamuzi kwa muda ambayo yanamaslai kwa taifa letu. Tunao viongozi lakini ni wale wanaofanya kazi kiurafiki zaidi na kama si kindugu wapo wakichekeana tu ktk mambo ya kimsingi.
Siasa za bongo zinahitaji mtu jasiri wa kuweza kuwaadabisha hawa wala nchi...
Nijuavyo mimi hao wasanii wanajipotezea umaalufu wao na huenda mauzo ya CD zao yatafifia. Kuna haja ya wao kusoma mabadiliko ya siasa za sasa vijana na hasa hiki kizazi cha wasomi ambao wengi wao maisha yao ni ya kubangaiza wanaitazama CHADEMA kama muokozi wao. Kusema ni baada ya miaka mingi ya...
Ni vema ukasoma mabadiliko ya nyakati si kama hivyo unavyoamini. Nyimbo za Roma ni aina ya nyimbo ambazo zinazungumzia hali halisi ya Tanzania ya sasa na hujaribu kufichua uovu uliopo. Kweli ilipofikia Tanzania inaitaji wasanii kama Roma na Mjomba wanafichua uovu uliopo na sio kuwazuga wananchi...
Kampeni zaendelea kupamba moto kwa nafasi mbalimbali ikiwemo ya raisi wa college na raisi wa shirikisho la college zote za UDOM, wabunge na viongozi wa ma-block. Unaonyesha kuwa ni wa huru na haki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.